Kampuni za sigara. Msikubali kuchafuliwa

coockie monster

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
385
Reaction score
748
Kwanza binaadamu kaanza tabia kuvuta tumbaku kabla ya yesu kuja,Tanzania watu wameanza kuvuta tumbaku zaidi ya miaka 200 iliyopita.

Tumbaku inapendwa na kuna watu tunaifurahia. Inakuaje nyie TCC mnakubali sigara zipande bei kiholela mtaani wakati nyie mna hela zetu nyingi na nguzo ya uchumi? Inakuaje wafanyabiashara wanatuzia Embassy-400Tsh,Portsman-300Tsh toka tarehe 8 December. Pelekeni watu na mfanye matangazo kuwaelemisha watu kuhusu bei.

Msituchulie poa wateja wenu, msijae uoga na propaganda kwa kitu ambacho watu wanakifurahia. Sisi wateja wenu mtutetee na msikubali sisi tuumizwe na wafanyabiashara.

Kama mteja mkubwa wa Embassy nawakilisha malalamiko yangu na nipo tayari kupiga kampeni kutetea maslahi yetu wavuta sigara na kunyonywa na wenye maduka..

“We mangi?Acha tamaa!Embassy ni miatatu sio mia nne”.
 
Embassy click ni jero
Screenshot_20251219-191935~2.jpg
 
5b334204-f4a5-469e-995e-b4bf2a778dea.jpeg
 
Bongo Sigara zinalindwa kwa bunduki Raia wanauwawa kwa bunduki.

Sigara inaheshimika kuliko raia
Wavuta sigara tuna HAKI.. kama wameshindwa kazi watuachie viwanda.. Ma director wanalipwa maslahi mazuri wakati sisi wapenzi tunaumia.. Sigara sio haramu,Sigara ni starehe ambayo sitaki mtu yoyote aingilie sababu hajaniumba yeye. Kuvuta sigara ni HAKI yangu na nastahili kulalamika nikinyonywa na wFanyabiashara wenye tamaa.. TCC ongeeni na masupplier wenu,waache tamaa tunataka bei elekezi ya sigara siko kila mtu anajiamulia..

Hii Inchi ina Mamlaka sio soko huria ndio lina’amua.. Pambaneni hela yetu isiende bure,Fanyeni Campaign and lobbying sigara isichukuliwe poa..
 
"Uvutaji wa sigara ni hatari kwa Afya yako"

Nimenukuu tu sijaongeza langu
Ni hivi. Sigara sio nzuri ki’afya ila ni kiburudisho cha mda mrefu na kipendachwo. Wavuta fegi wote duniani wanajua madhara yake. Ila kiasili ya binaadamu and nature kiujumla watu wana crave social life na wanaigana. Smoking imeanzia SouthAmerica na watu walikua wanavuta tumbaku kijamaa kwenye kiko wantembezeana.

Ulimwengu ulivofunguka na watu kuanza ktembeleana, wakakuta watu wanavuta,wakaupenda,wakaenjoy,wakajenga urafiki na wakaiga utamaduni huo . Kama walivoiga kutumia viazi,mahindi au karanga.. hivi unajua karanga za miambili zilianzia SouthAmerica.

ama sisi tulivoiga kutumia pesa,kuiga Dini na mavazi. Dunia ni moja tamaduni zinaigana na utamaduni wa kuvuta sio kitu
 
"Uvutaji wa sigara ni hatari kwa Afya yako"

Nimenukuu tu sijaongeza langu
Ni hivi. Sigara sio nzuri ki’afya ila ni kiburudisho cha mda mrefu na kipendachwo. Wavuta fegi wote duniani wanajua madhara yake. Ila kiasili ya binaadamu and nature kiujumla watu wana crave social life na wanaigana. Smoking imeanzia SouthAmerica na watu walikua wanavuta tumbaku kijamaa kwenye kiko wantembezeana.

Ulimwengu ulivofunguka na watu kuanza ktembeleana, wakakuta watu wanavuta,wakaupenda,wakaenjoy,wakajenga urafiki na wakaiga utamaduni huo . Kama walivoiga kutumia viazi,mahindi au karanga.. hivi unajua karanga za miambili zilianzia SouthAmerica

ama sisi tulivoiga kutumia pesa,kuiga Dini na mavazi. Dunia ni moja tamaduni zinaigana na utamaduni wa kuvuta sio kitu
 
Usihofu.... Na beer nazo zimepanda bei... Nahisi na vingine vita panda bei.....
 
Back
Top Bottom