Kampuni za kuthaminisha mali (Assets valuation co.) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni za kuthaminisha mali (Assets valuation co.)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kichwa Ngumu, May 6, 2012.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  JF heshima
  Wakuu naomba kuyafaham makampuni yanayo thaminisha (assets valuers) mali kwa hapa Tanzania kuna sehemu wanatafutwa.
  natambua JF hakuna linaloshindikane
   
 2. wmakishe

  wmakishe Member

  #2
  Nov 10, 2013
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  Kichwa Ngumu! I hope you are fine!
  Hii thread yako imefanya niamini kuwa bado professionals wengi wa kitanzania sio watumiaji wa mitandao ya kijamii. Maana hii title yako kuhusu wathamini wa mali (Asset Valuers) imekuwepo hapa JF for more than a year now!!! na hakuna hata mmoja wa hao valuers aliyejitokeza akasema kuwa yeye ni valuer na wala hakuna aliyeelekeza valuers walipo.
  Ni muda umepita na mimi pia najilaumu kwa kutoiona hii thread for such a long time, wakati jibu ninalo. Kama bado unahitaji VAluers wasiliana na COSWIL CONSULT LTD kwa simu No 0713596010 au 0764640244 au tembelea website yao COSWIL CONSULT(Tanzania) Ltd
   
 3. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2014
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Unaweza kumwandikia Secretary, National Council of Professional Surveyors P O Box 9132 Wizara ya Ardhi, Ardhi House, yeye atakupa list ya makampuni yote yaliyosajiliwa na Valuers ambao wanaruhusiwa kufanya asset valuation Tanzania.
   
 4. T

  Tito J Member

  #4
  Mar 30, 2014
  Joined: Mar 30, 2014
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mkuu nipigie namba 0755371297 na 0714753579 tuongee fresh. mimi ni valuer.
   
Loading...