Kampuni yakiri kuipa rushwa nchi ya Brazil

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,569
9,429
Kampuni kubwa duniani ya kusindika nyama iliyopo nchini Brazil, imekubali kwamba iliilipa serikali ya nchi hiyo kiasi cha zaidi ya dola Bilioni tatu katika kile kinachotajwa kuwa ni rushwa kubwa zaidi nchini humo.
Waendesha mashitaka nchini humo wanasema kuwa faini hiyo ilikuwa kubwa kupitiliza.

Mmoja wa wamiliki wa kampuni hiyo Joesley Batista anatuhumiwa kupanga njama na Rais Temer ili kupoteza ushahidi.

Rais Temer amesema kamwe hatoachia madakara kwa kashfa hiyo ambayo anadai ni ya kutengenezwa.


BBC Swahili
 
Haya makampuni makubwa yanashirikiana na serikali za magharibi kutisha nchi zinazoendelea ili zihongeke kirahisi.
Matokeo ni raia kuteseka kwa kuibiwa na makampuni ya wazungu.
Hata issue ya mchanga Tanzania huenda kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya kuhongwa kwa viongozi wa serikali za awamu ya tatu na nne.
 
Kuna makampuni makubwa kiasi kwamba revenue zao ni zaidi ya GDP ya nchi zote za EAC combined.
 
Back
Top Bottom