Kampuni ya Usafi wa Nyumbani, kila aina ya usafi

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,314
Kama unahitaji huduma yetu tafadhali wasiliana nasi tukusaidie Usafi.
H and D Cleaning Company ni Kampuni inayojihusisha na usafi katika maeneo haya-

Usafi wa Nyumba
Usafi wa Bustani
Usafi unapohama au kuhamia makazi
Kusafisha madirisha
Usafi wa Jikoni na samani zote za Jikoni
Kufua nguo na kunyoosha.
Kupaka rangi ya ndani aina yoyote ile ndani ya nyumba.
Usafiri,Kubeba,Kushusha na Kupanga kwa anayehama na kuhamia.

House Cleaning
Green Cleaning/ Garden Cleaning
Apartment Cleaning
Move In/Move Out Cleaning
Window Washing
Oven Cleaning
Refrigerator Cleaning
Office Cleaning
Ni PM

TANGAZO HALISEMI KUWA TUNATAFUTA WAFANYAKAZI. ILA NI SISI TUNATAFUTA KAZI ZA KUFANYA.
 
Last edited:
Taja bei!
mf.
kusafisha nyumba,kufua kuosha kuta za Jikoni kufua mapazia na kukata nyasi zote nje ya nyumba
NATAKIWA KUWALIPA KIASI GANI?
 
[Mkuu Bei hatuwezi kuitaja pasipo kuona eneo. husika. Kama unahitaji huduma unawasiliana nasi then tunakuja kuona eneo/nyumba na kukubaliana bei kulingana na eneo husika. so si kwamba bei ipo fixed cause nyumba au maeneo yanatofautiana ukubwa na pia kiasi cha uhitaji wa hiyo huduma. kuna nyumba unaweza kuta haijakaliwa mwaka au miaka na ni chafu sana haiwezi kuwa sawa na nyumba mpya. so bei ni makubaliano pia kwa sababu lengo ni kutoa huduma na ku maintain uteja. ukihitaj huduma unawasiliana nasi anakuja mtu wa tathmini mnafanya naye ukiridhka kazi inafanyika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom