gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,383
- 7,227
Pita katika ofisi za makampuni mbali ili kuuza huduma.yako mkuuHABARI ZENU WANA JF...mimi ni mhitimu wa chuo,nadhani kama mnavyofaham jinsi ajira ilivyo ngumu tanzania,so niliamua kufungua kampuni itakayo deal na tenda za usafi wa barabara pamoja mafisini,
naombeni msaada kwa yeyote ambaye ni mzoefu kupata hizi tenda
shukrani.
Inbox me email yako nikupe ushauri mwingineHABARI ZENU WANA JF...mimi ni mhitimu wa chuo,nadhani kama mnavyofaham jinsi ajira ilivyo ngumu tanzania,so niliamua kufungua kampuni itakayo deal na tenda za usafi wa barabara pamoja mafisini,
naombeni msaada kwa yeyote ambaye ni mzoefu kupata hizi tenda
shukrani.
Inbox me email yako nikupe ushauri mwingine
Basi yameisha ndugu yangu, nilikua napita tu.....haukujua kwanini nilikwambia nitumie email....nisamehe bure mkuuKama ni ushauri mzuri si uweke hapa kwa manufaa ya wengine. kwa hiyo kila atakaye taka ushauri wako akutumie email?
Mkoa gani upo?HABARI MIMI PIA NIMEFUNGUA KAMPUNI YA USAFI MAOFISINI NAFANYIA MKOANI theo350789@gmail.com
Kuna ndugu yangu kamaliza form four huko huko njombe anaweza pata nafasi?njombe
uu kama uko Njombenjombe
Hana ujuzi wowote ni form IVyeye ana ujuzi upi
asante na mimi nataka kuSajili kampuni yako GPSA ili uweze kutoa huduma serikalini. Mimi ninafanya biashara hiyo kampuni yangu ni millennium cleaning services. Andaa business cards na vipeperushi sambaza maofisini mwanzo mgumu lakini ukijitangaza vizuri utapata tu wateja
Basi yameisha ndugu yangu, nilikua napita tu.....haukujua kwanini nilikwambia nitumie email....nisamehe bure mkuu
Naomba huo ushBasi yameisha ndugu yangu, nilikua napita tu.....haukujua kwanini nilikwambia nitumie email....nisamehe bure mkuu