granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 2,256
- 5,289
Koromeo kavu anadhani bilateral agreements ni sawa na by-laws ya serikali za mitaa hapa Tanzania. Msameheni tu.Unajua maana ya bilateral agreement? Hiyo license ilitolewa ikiwa na state guarantee; huwezi kubadilisha sheria ili kufuta mikataba iliyowekwa under bilateral agreements bila upande wa pili kuridhia.
Labda wewe ni kijana mdogo kwa hiyo hii itakuwa habari ngeni kwako; lakini Mwalimu alitaifisha makampuni yote ya kigeni lakini Williamson Diamonds hakuweza. Unadhani ni kwa nini? Unadhani ni kwa nini hadi leo chama cha wanasheria kinaitwa Tanganyika Law Society (na si Tanzania Law Society)?
Wawahi tu mahakamani fasta
Wamesahau kuwa hizo leseni walipewa kwa mujibu wa sheria za Tanzania na zimefutwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania
Kwani tangu sheria mpya zipitishwe kuna muwekezaji wa madini kesha ingia mkataba?!
Mi nilidhani hawa ni miongoni mwa wale wawekezaji wakongwe waliokuwepo kabla?!
Asante, ila hakuelewa wewe,nilikuwa na kuuliza swali huyo, kwamba " Tangu sheria mpya za Kabudi zipitishwe,kuna muwekezaji mpya kwenye madini ka sign mkataba mpya" kila mtu anasema ni kandamizi, sasa alitungiwa nani ikiwa wawekejaji hawazikubali?!Inavyoelekea umeisoma tu hiyo statement bila kuielewa vizuri na nadhani tatizo litakuwa kutoielewa vyema lugha ya Kiingereza....
Kampuni iko na inafanya kazi zake tangu mwaka 2006 na marekebisho ya sheria za mbalimbali za madini yamefanyika mwaka 2018 na hivyo kupingana na mikataba ya kampuni hizi zinazolalamika na hivyo kuathiri uwekezaji wao na haki zao kwa mujibu ya makubaliano kati ya kampuni na serikali ya Tanzania....
Ndiyo maana wasipokubaliana ktk kipindi cha miezi sita, wanaenda mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya kibiashara na huko wote tunajua, serikali yetu haina historia nzuri ya kushinda kesi hizi......mara zote inashindwa na kulipa mafidia mamilioni ya dola!!
Sio kutorosha dhahabu wala nini, roho mbaya tu, sababu ya kutorosha dhahabu ni kodi zisizozingatia uhalisia wa biashara. Weka kodi kidogo ili mfanyabiashara na yeye apate
Unasema nchi tajiri wakati tunachangishwa ujenzi wa madarasa ya sekondari nchi tajiri hawachangii madarasaWao washitaki tu, tutawalipa stahiki zao ikionekana wameshinda kesi.Nchi tajiri hii si mchezo.
Ila waombe kulipwa cash na cyo kukamata Bombadear zetu.
Ukiona haupati faida, sio lazima kuifanya iyo biashara usiforce Kupata faidaSio kutorosha dhahabu wala nini, roho mbaya tu, sababu ya kutorosha dhahabu ni kodi zisizozingatia uhalisia wa biashara. Weka kodi kidogo ili mfanyabiashara na yeye apate
Asante, ila hakuelewa wewe,nilikuwa na kuuliza swali huyo, kwamba " Tangu sheria mpya za Kabudi zipitishwe,kuna muwekezaji mpya kwenye madini ka sign mkataba mpya" kila mtu anasema ni kandamizi, sasa alitungiwa nani ikiwa wawekejaji hawazikubali?!
Ndio maana ukawa mtu mweusi, sababu hauna akili za kupambanua mambo, watu weupe wangekuwa na akili kama zako yasingekuwepo mashirika makubwa duniani. Msingi wa biashara ni faida, and a good taxation system ni hukakikisha biashara zinaendelea ndio sustainability ya kodi, kama watu wanafunga biashara kwa akili zako wakatafute biashara zingine? Watu wenye akili timamu siku zote huwa wanajiuliza kwann watu wanalalamika, wanafunga biashara. Its very unfortunate watu wenye akili kama zako ndio watunga Sera, very shortsighted.Ukiona haupati faida, sio lazima kuifanya iyo biashara usiforce Kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni hakimu katika kesi hii kwa sababu umeishatoa hukumu kabla hata kesi haijaenda mahakamani!
sehemu ya notice kwa serikali ya Tanzania inasomeka hivi;
''The Notice of Intent is necessary in order to preserve the Company’s rights to initiate arbitration should a resolution with the Tanzanian government not be reached.
The filing of the Notice of Intent initiates a six-month consultation period between the parties during which time they are to attempt to amicably settle the dispute. If no amicable settlement is reached in that six-month period, the Company may then initiate international arbitration proceedings against Tanzania in accordance with the BIT''.
Mkuu 'Mfiaukweli', pamoja na kwamba umejieleza vizuri juu ya "Bilateral Agreements" na ukaeleweka sawia; hili ulilochomeka la "Tanganyika Law Society" limefanya mchuzi safi uwe na nzi ndani yake.Unadhani ni kwa nini hadi leo chama cha wanasheria kinaitwa Tanganyika Law Society (na si Tanzania Law Society)?
Haki itendeke kama mkulima alivyolipwa pesa yake.Mashitaka (kushitaki/ kushitakiwa) kwenye kesi za madai ni sehemu ya maisha na changamoto katika biashara hai!
Jameni, hebu tuache masihala.
Erythro, nakuona umekwishaingia hapa.Ohoooooo !!!