Kampuni ya uchimbaji dhababu ya Canada, Winshear Gold Corp kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa kukiuka mikataba

Unajua maana ya bilateral agreement? Hiyo license ilitolewa ikiwa na state guarantee; huwezi kubadilisha sheria ili kufuta mikataba iliyowekwa under bilateral agreements bila upande wa pili kuridhia.
Labda wewe ni kijana mdogo kwa hiyo hii itakuwa habari ngeni kwako; lakini Mwalimu alitaifisha makampuni yote ya kigeni lakini Williamson Diamonds hakuweza. Unadhani ni kwa nini? Unadhani ni kwa nini hadi leo chama cha wanasheria kinaitwa Tanganyika Law Society (na si Tanzania Law Society)?
Koromeo kavu anadhani bilateral agreements ni sawa na by-laws ya serikali za mitaa hapa Tanzania. Msameheni tu.
 
Nothing, if anything "bilateral" in this treaty, more unilateral and exploitative as the BIT first and foremost, overwhelmingly protects and benefits Canadian Mining companies in Tanzania.
 
Kwani tangu sheria mpya zipitishwe kuna muwekezaji wa madini kesha ingia mkataba?!

Mi nilidhani hawa ni miongoni mwa wale wawekezaji wakongwe waliokuwepo kabla?!

Inavyoelekea umeisoma tu hiyo statement bila kuielewa vizuri na nadhani tatizo litakuwa kutoielewa vyema lugha ya Kiingereza....

Kampuni iko na inafanya kazi zake tangu mwaka 2006 na marekebisho ya sheria za mbalimbali za madini yamefanyika mwaka 2018 na hivyo kupingana na mikataba ya kampuni hizi zinazolalamika na hivyo kuathiri uwekezaji wao na haki zao kwa mujibu ya makubaliano kati ya kampuni na serikali ya Tanzania....

Ndiyo maana wasipokubaliana ktk kipindi cha miezi sita, wanaenda mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya kibiashara na huko wote tunajua, serikali yetu haina historia nzuri ya kushinda kesi hizi......mara zote inashindwa na kulipa mafidia mamilioni ya dola!!
 
Zianze mara ngap kukamatwa wakat hivi juzi tu tumeshuhudia na yakapita? Mi nadhani ndio milima na mabonde stahiki ya mtaka maendeleo yeyote dunian, udhubutu ni kitu kizuri sana katka maisha ya hapa duniani,

Unafikiri usipodhubutu ukiwa hai utadhubutu ukiwa mfu!?

Jpm usiogope chapa kazi hadi wakubali kweli wewe ni MWAMBA kote Africa na dunia nzima

Big respect my Lovely President of the decade
 
Inavyoelekea umeisoma tu hiyo statement bila kuielewa vizuri na nadhani tatizo litakuwa kutoielewa vyema lugha ya Kiingereza....

Kampuni iko na inafanya kazi zake tangu mwaka 2006 na marekebisho ya sheria za mbalimbali za madini yamefanyika mwaka 2018 na hivyo kupingana na mikataba ya kampuni hizi zinazolalamika na hivyo kuathiri uwekezaji wao na haki zao kwa mujibu ya makubaliano kati ya kampuni na serikali ya Tanzania....

Ndiyo maana wasipokubaliana ktk kipindi cha miezi sita, wanaenda mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya kibiashara na huko wote tunajua, serikali yetu haina historia nzuri ya kushinda kesi hizi......mara zote inashindwa na kulipa mafidia mamilioni ya dola!!
Asante, ila hakuelewa wewe,nilikuwa na kuuliza swali huyo, kwamba " Tangu sheria mpya za Kabudi zipitishwe,kuna muwekezaji mpya kwenye madini ka sign mkataba mpya" kila mtu anasema ni kandamizi, sasa alitungiwa nani ikiwa wawekejaji hawazikubali?!
 
Asante, ila hakuelewa wewe,nilikuwa na kuuliza swali huyo, kwamba " Tangu sheria mpya za Kabudi zipitishwe,kuna muwekezaji mpya kwenye madini ka sign mkataba mpya" kila mtu anasema ni kandamizi, sasa alitungiwa nani ikiwa wawekejaji hawazikubali?!

Pole na samahani kwa kutokukuelewa.....

Sasa nimekuelewa. Swali lako litajibiwa na wanaofahamu na wenye takwimu....

Lakini obviously, sheria hizi mpya zime-pollute na kuathiri kwa kiasi kikubwa mazingira ya uwekezaji hapa nchini....

Huwezi kutunga sheria ya biashara inayotambua haki ya upande mmoja huku upande wa pili ukiambulia faida kidogo sana...

Ni wazi tangu marekebisho ya sheria hizi, hakuna uwekezaji mpya na wa maana uliokwisha kufanyika!!
 
Ukiona haupati faida, sio lazima kuifanya iyo biashara usiforce Kupata faida

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana ukawa mtu mweusi, sababu hauna akili za kupambanua mambo, watu weupe wangekuwa na akili kama zako yasingekuwepo mashirika makubwa duniani. Msingi wa biashara ni faida, and a good taxation system ni hukakikisha biashara zinaendelea ndio sustainability ya kodi, kama watu wanafunga biashara kwa akili zako wakatafute biashara zingine? Watu wenye akili timamu siku zote huwa wanajiuliza kwann watu wanalalamika, wanafunga biashara. Its very unfortunate watu wenye akili kama zako ndio watunga Sera, very shortsighted.
 
Wanakurupuka sana ,halafu akiona dozens za like kwenye comment yake anajiona mjanja ile mbaya,kumbe utumbo tu
Wewe ni hakimu katika kesi hii kwa sababu umeishatoa hukumu kabla hata kesi haijaenda mahakamani!

sehemu ya notice kwa serikali ya Tanzania inasomeka hivi;
''The Notice of Intent is necessary in order to preserve the Company’s rights to initiate arbitration should a resolution with the Tanzanian government not be reached.

The filing of the Notice of Intent initiates a six-month consultation period between the parties during which time they are to attempt to amicably settle the dispute. If no amicable settlement is reached in that six-month period, the Company may then initiate international arbitration proceedings against Tanzania in accordance with the BIT''.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani ni kwa nini hadi leo chama cha wanasheria kinaitwa Tanganyika Law Society (na si Tanzania Law Society)?
Mkuu 'Mfiaukweli', pamoja na kwamba umejieleza vizuri juu ya "Bilateral Agreements" na ukaeleweka sawia; hili ulilochomeka la "Tanganyika Law Society" limefanya mchuzi safi uwe na nzi ndani yake.

Hebu eleza hili la "Tanganyika' na sio Tanzania."

Wenye chama chao wakiamua kubadili jina haiwezekani? Elezea mkuu kwa faida ya sisi tusioelewa haya mambo ya sheria.
 
Jameni, hebu tuache masihala.
Huyu ofisa wa serikali kweli kayasema maneno hayo, tena mbele za watu walio na akili timamu? Kweli?

Natamani sana ningesikia sauti yake akiyasema haya na kuwaona watu waliokuwa wakiambiwa maneno haya!

Hawa walimu waliopewa onyo hili, nao watakwenda kupiga kura kwa furaha kubwa kuhakikisha ofisa wao huyu anaendelea kuwaondolea tatizo lao la kutumia akili zao kama walivyojaaliwa na Muumba wao?

Kuna kulewa madaraka, lakini huku ni zaidi ya ulevi huo.
 
Ohoooooo !!!
Erythro, nakuona umekwishaingia hapa.

Kuna jambo linahitaji kuingizwa kwenye ile maktaba yako mashuhuri, kama kweli unayo.

Hebu angalia Bandiko Namba 22, umeiona hiyo?

Kuna picha ya mhusika, na maneno aliyohusishwa nayo. Nadhani huu ni mchango unaostahili kuwemo kwenye maktaba yako maarufu.
 
Back
Top Bottom