Kampuni ya ttcl haitoi promising future kwa wafanyakazi wake so sad...

Fukara

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,625
927
KAMPUNI YA TTCL ambayo ili jitoa rasmi katika muungano wa posta na simu kama ilivyokuwa ikiitwa zamani mnamo mwaka 1993,na kubinafsishwa rasmi mwaka 2001 kwa bei chee..kampuni hii ya simu za mkononi sio MONOPOLY tena kama tunavyojipa moyo kwani imeingia kwenye ushindani mkubwa sana wa kibiashara kutoka kwa makampuni mengine ya simu za mikononi kama TIGO,AIRTEL,ZANTEL,NA VOCADOM kama wadau wenzangu amabao mmebahatika kutembea baadhi za wilaya utaungana na mimi kwamba kampuni ya simu imeshindwa kujiendesha kwa kiwango kikubwa sana kwenye nyanja zifuatazo..
1.Majengo chakavu sana,yani mpaka huru imefikia hatua mpaka kitasa cha mlango kikiharibika bodi ikae kujadili kuknunua kipya Districtn Manager hana mamlaka ya kununua kitasa kipya labda atoe pesa yake mfukoni je atarudishiwa??????jibu ni hapana kwani mpaka mabosi wajadili kuhusu kitasa aibu sana.

2.Wataalamu wilayani hawapo,yani FAULT ikitokea mpaka fundi atumwe kutoka mkoani na gari ya kampuni ndio aende wilayani sasa garama ya mafuta,spea za gari na muda kwanini mafundi wote wajazane mkoani????

3.REGIONAL MANAGER ana nguvu kumzidi ZONAL DIRECTOR yani hichi ndio kichekesho nilicho kutana nacho gari zote za kampuni mwenye mamlaka nazo ni R/M hata kama DIRECTOR anataka kulitumia R/M anao uwezo wa kukataa na kutokana R/M wa ule mkoa ni mungu mtu haelewani kabisa na ZONAL DIRECTOR sasa sijui kazi wanafanyaje maana ni kupingana kwenye maamuzi mengi ya kiutendaji.swali ni je kazi zinataenda??TEAM WORK hakuna

3.PROMOTION,kampuni hii hata usome mpaka uwe na madigrii kwenye uso upandi cheo yani MANAGER anaweza kuwa na diploma wewe ukawa na MASTERS na umemzidi kwa kilakitu ila yeye akawa meneja sasa sijui wanaangalia vigezo gani vya kupeana vyeo hivyo...if education na accountability sio vigezo??
:A S cry:
4.VIFAA CHAKAVU.,yani kampuni hii wana vitendea kazi chakavu kupita kawaida nilipita wilaya flani DESKTOP ya meneya wa wilaya ni plintiam 2 duuh aisee na imeshakuwa mbovu nikamuuliza si ununue mpaya akanijibu huu ni mwaka 2 sasa toka haiombe mkoani hawajaileta,,jamani kwani computer ni sh ngapi mpaka ichukue muda wote huo???KAMA RESOURCE HAKUNA WANAFANYAJE KAZI KWA UFANISI???
:A S cry:
NINAMAMBO MENGI SANA WADAU KUHUSIANA NA KAMPUNI HII AMBAYO WATU WACHACHE WALIHIUJUMU KWA MASLAHI YAO BINAFSI,ILA INAKATISHA SANA TAMAA FIXED SALARY WITH ALOT OF DEDUCTION TAKLE HOME Tsh 100,000/= wachache wana faidika wengi wanaumia LOSE WIN pricipal.HOW IN THE HELL ARE YOU GOING TO LIVE YOUR DREAMS?????:A S cry::A S cry:
 
Back
Top Bottom