Kampuni ya sony imejitabiria hasara zaidi

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
Japanese consumer electronics giant Sony has said it expects to record much bigger losses because of its struggling mobile business.

For the full year to March 2015, Sony now expects a full year loss of 230bn yen ($2.15bn; £1.3bn) compared with a previous estimate of 50bn yen.

The firm has cut forecasts for sales in its smartphone business as it faces competition from Apple and Samsung.

Sony has been reorganising its business in recent years.

The company said in a statement its latest plan had been "modified to address the significant change in the market and competitive environment of the mobile business."

Under chief executive Kazuo Hirai - who took charge in 2012 - Sony has sold off parts of the business deemed not central to the company's operations, in an attempt to return to profitability. That included the sale of its US headquarters building in New York, for more than $1bn, and the "Sony City Osaki" premises in Tokyo.

And in its search for new revenues, earlier this month the company unveiled a new range of smartwatches and launched a smartphone that will allow gamers to integrate the device with its PS4 playstation console.

hakuna faida kwenye simu unless wewe ni apple au samsung. sio wao tu htc, huawei, lg, na wengineo pia wanahangaika
 
Tatzo n nini kwani.??
Mbna simu zao nying tu zinauzika.. chief-mkwawa

Tatizo sio simu kuuzika bali ni zinauzika kwa kiasi gani?? Kama unaifahamu basi nitajie brand ya Sony (smartphone) inayosumbua sokoni kwa sasa...
 
Last edited by a moderator:
Tatizo sio simu kuuzika bali ni zinauzika kwa kiasi gani?? Kama unaifahamu basi nitajie brand ya Sony (smartphone) inayosumbua sokoni kwa sasa...

Ukipita maduka ya posta kule ukiulizia xperia z,unambiwa zmeisha mpaka next week sabaabu znanunulika sana..
 
Tatzo n nini kwani.??
Mbna simu zao nying tu zinauzika.. chief-mkwawa

kwenye biashara kuna kitu kinaitwa fixed cost. yani hizi ni gharama ambazo unazipata hata kama utauza simu moja tu. na zinakuwa ni gharama za kulipa wafanyakazi, research, viwanda nk.

ili uweze kupata hela nyingi kuizidi hio cost inabidi bidhaa utakayoitoa iuze unit nyingi sana.

sony kwa miez mitatu hafikishi unit milion 10 wakati samsung na apple wanafikisha milion 80 na 40.

fixed cost yao itafanana/itakaribiana wote watatu lakini kutokana na na sony kauza unit chache basi yeye atapata hasara
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nadhani hata fixed cost zinaweza kutofautiana pakubwa, mfano gharama ya kununua eneo la kiwanda Korea na Japan ni tofauti sana au walioviweka China. Pia kwenye variable, gharama ya nishati Japan ni balaa ukilinganisha na aliekiweka China. Factor ziko nyingi kama sera za uchumi nchi husika, viwango mishahara, umiliki wa technolojia etc
 
haya ni makampuni makubwa sio kwamba akitoka japan basi kila kitu ndio huko huko wanaweza kukita production nchi yoyote wanayoitaka. hamna kitu kinachomzuia sony kufanya production china/taiwan/vietnam kama wenzake
 
Naelewa mkuu lakini makampuni mengi wanaweka headquarters nchini mwao pia plant mama sometimes inakua nchi husika ambayo inaathiri na sera za nchi ikiwemo kodi. Kuna wakati ilikua ishu baada ya microsoft kutaka kuhamisha sehemu kubwa ya shughuli zake China kutoka Marekani. Yapo makampuni yaliuza unit nyingi lakini kutokana na factor nyingine yakalamba hasara mpaka kuyumba au kuuza na kampuni yenyewe...
 
mimi issue kubwa ninayoijua sana ni research, kampuni nyingi zilizotumia hela kufanya tafiti na kugundua mambo mengi zimeenda na maji, hasa japan wameathirika sana. kampuni za kimarekani na china wao wanacopy na kupaste waka survive
 
intel, microsoft na ibm wanajulikana hao ni exception na ndio mara ya kwanza google kuingia kwenye hio list.

huyu jamaa wetu apple hajawah ingia kabisa kwenye hio list. budget yake ya research haifiki hata asilimia 1 ya mapato.

samsung nae research zake zipo maeneo ambayo yupo vizuri kama kutengeneza memory na display japo mwaka huu ametusuprise na isocell pamoja na exynos ya 20nm.

ukiangalia hio list kuanzia nokia, sony, panasonic, volkswgn, ibm na kina honda wanagundua vitu then watu wanatumia bure wao wanataabika wenzao wanakua
 
Kwanza sony hawaipi kipaumbele marekani kama makampuni mengne,sony wakat ikiwa na ericsson walikuwa succesful sana marekani,huwa naskia na kusoma jinsi wamarekani wanavyolala sony kuwatupa,.
Sony hawajali,angalia samsung na lg wanavyo fanya marketing mpaka huku afrika ndani,sony yeye hana time,
wanataka share zshuke sana ili investor waiache irud kwenye ukoo,ndo maana wanaona raha kutangaza hasara
 
Ukipita maduka ya posta kule ukiulizia xperia z,unambiwa zmeisha mpaka next week sabaabu znanunulika sana..

Wenzio wanaangalia worldwide we unasema Posta Hiv akili ako imekua au imeoza..??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
japo japan ina watu wachache ila kuna hela balaa kwenye tech. ndio nchi inayoongoza kwa kununua vitu kama apps na games. sishangai wakikomaa na nchi yao
 
Sony wanatakiwa wahame toka kwenye uzalishaji wa simu na kuwekeza kwenye biashara nyingine.
 
You are too technical for a layman not to understand. Your tech fellaz only understand u.
 
mimi issue kubwa ninayoijua sana ni research, kampuni nyingi zilizotumia hela kufanya tafiti na kugundua mambo mengi zimeenda na maji, hasa japan wameathirika sana. kampuni za kimarekani na china wao wanacopy na kupaste waka survive

Wauze patents zao kama IBM au erricson
 
Wenzio wanaangalia worldwide we unasema Posta Hiv akili ako imekua au imeoza..??

Sent from my iPhone using JamiiForums

Swali lake likaniongezea uzito wa kujaribu kumuelezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…