Forecaster
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 209
- 121
Ni wapi zilipo yard za SBT na Berforward dar
Ok 👌. Vipi berforward nao wanazo yard darSidhani kama wana yards, ila hua wanaleta watu wana book kwenye meli kabla haijashusha, zingine wananunulia bandarini..nakumbuka last year nyingi za sbt ziliuzwa mnada pale mass holdings bada yakukaa siku nyingi
Ok 👌. Vipi berforward nao wanazo yard dar