YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,003
Katika kampuni ambazo naweza ziita Rafiki kwa watanzania ni kampuni ya Mafuta ya TOTAL.
Kampuni hii ilifanya kazi Tanzania wakati wa ujamaa na wakati nchi ikiwa katika hali ngumu ya kiuchumi na fedha za kigeni wakati wa Nyerere yenyewe iliendelea kuhudumia watanzania bila kinyongo wakati kampuni zingine ZILIFUNGA VIRAGO NA kuondoka.
Sasa hivi tuna uafadhali na Kampuni ya TOTAL ipo pamoja nasi kutaka kujenga bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga.
Ama kweli TOTAL ni rafiki wa watanzania