Na hao jamaa wana tabia ya kuiba mabegi, kuna kesi zaidi ya mbili zimeripotiwa polisi Mwanza, kwa hiyo abiria muwe makini na mizigo yenu. Kama hujaripia begi likipotea watakwambia hukupakia begi ukisema ulipakia watakwambia leta tiketi ya begi huku wakijua kwamba hakuna abiria aliyepewa tiketi ya begi.