Kampuni ya Mabasi ya Princesa Muro yafanya utapeli

Kampuni ya Mabasi ya Princesa Muro yafanya utapeli

JakaRoho

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
40
Reaction score
6
Nipo kwenye basi la Princess Muro Mbeya kuna mzozo umezuka baadhi ya abilia wanadai kuwa walilopa nauli ya Mbeya kwa basi la Luxury ya 44000 lakini wamepandishwa kwenye Basi la kawaida la nauli ya 38000..Zogo.kubwa limezuka na Kondakta ikamlazimu awasiliane na Makao makuu baada ya abilia kutishia kushtaki Sumatra Morogoro.Ila kwa sasa abilia wamerudishiwa kiasi kilichozidi na Safari inaendelea vizuri..
Kwa mujibu wa Maelezo mabasi ya Luxury ni 2x2 na haya ya kawaida ni 2x3 hivyo yatupasa kuwa makini na aina ya Basi ulilolipia.
 
Na hao jamaa wana tabia ya kuiba mabegi, kuna kesi zaidi ya mbili zimeripotiwa polisi Mwanza, kwa hiyo abiria muwe makini na mizigo yenu. Kama hujaripia begi likipotea watakwambia hukupakia begi ukisema ulipakia watakwambia leta tiketi ya begi huku wakijua kwamba hakuna abiria aliyepewa tiketi ya begi.
 
Back
Top Bottom