Bus iliyonunuliwa milioni 800+ leo inatupwa kwa milioni 85?nimeona ile bus yake moja marcopolo viagio inauzwa m85
Kidinilo,,,umenikumbusha mbali mkuu ! 2012 huko niliwah kupata safari ya kwenda mahenge Kama Mara 3 ! Mabasi yalokuwepo Ni Moro best(Nissan ), kinidinilo na alsaedy,,, enzi hizo Moro best na alsaedy yamechoka balaa, kidinilo ndo linaonekana pamba ;ni kweli maana kidinilo na alsaed ni 3x2
Not comfortable kama mchina? Bus zipi hizo za kichina?Tunarudia na narudia, Dar Express, Kilimanjaro Express is old skuli, msilazimishe zichanue upya, hata akileta irizar au viagio GX ni scania chuma kweli but not comfortable kama mchina.
Although hizo kampuni mbili mwa sasa zimebaki majina tu, no good service and customer care humo ndani, mabinti wake (konda) wanajibu ovyo sababu wana uhakika wa kuiba njiani, i know everything in out hii! Na hata agent wao now wapo mguu nje/ndani.
Tunaweza kupata histori ya mmiliki alipataje hizo mali?Kwa sasa sijui ni kitu gani kimewakumba hawa jamaa, kwanza kabisa utunzaji wao wa magari umekuwa ni wa hovyo sana,nilikutana na ile Marcopolo Viagio G7 imechoka balaa, kwanza kwa hadhi ya ile bus ni ya kupeleka Ulanga, Ifakara kweli?
Mwendo wa barabara ya vumbi na mashimo ya kutosha, kwanza ilikuwa imetelekezwa stend kwa sababu ya ubovu, nyingine niliikuta karibu na Mindu imefichwa kwenye kinjia cha uchochoroni, inaonekana imetaga hapo muda mrefu.
Mimi nimepanda Dar Express T8.. DWU Luxury bus. Very Comfortable. Utazani uko ndani ya Bombardier.👋👋Bus Lina first na Second na choo ndani. Jaribu hutajutia Nauli yako. Entertainment kibao Maji, Soda, biscuit, Cake na pipi. Halafu full AC. Dereva na Konda wako Vizuri.Tunarudia na narudia, Dar Express, Kilimanjaro Express is old skuli, msilazimishe zichanue upya, hata akileta irizar au viagio GX ni scania chuma kweli but not comfortable kama mchina.
Although hizo kampuni mbili mwa sasa zimebaki majina tu, no good service and customer care humo ndani, mabinti wake (konda) wanajibu ovyo sababu wana uhakika wa kuiba njiani, i know everything in out hii! Na hata agent wao now wapo mguu nje/ndani.
Ni kampuni mbili tofauti...Dar Lux ilishakufa muda sana Mkuu.
Hivi sasa Majengo yao yote yanamilikiwa na Happy Nation.
Be informed accordingly[emoji3516]
Unless Dar Express ni kampuni tofauti na Dar Lux.. i stand to be corrected
Nimeshangaa ujue yaani mchina upi ulingane na Viaggio au Irizar kwa confotability? Ujue mchina basi zake huwenda zikawa ni technolojia ya mzungu miaka ya nyuma kidogo.Not comfortable kama mchina? Bus zipi hizo za kichina?
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app