Kampuni ya Kenya kumwaga ‘mkwanja’ Yanga

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,288
15,238
sportpesa-640x264.jpg

Kampuni ya SportsPesa kutoka Kenya wanatarajia kuingia mkataba wa miaka mitano na Yanga wenye thamani ya Billion 4.5 ambao kwa mwaka utakuwa na thamani ya TSh. milioni 900.

Uongozi wa Yanga utakutana na wawakilishi wa kampuni hiyo, ambapo wakikubaliana wataingia mkataba huo wa miaka mitano ambao kila mwaka utakuwa na nyongeza ya asilimia sita ya fedha. Asilimia sita ya milioni 900 ni milioni 54. Yanga watakuwa wanaongezewa nyongeza ya million 54 Kwa kila mwaka ambapo Kwa miaka minne Yanga wataongezewa milioni 216 kwenye mkataba huo. Pamoja na nyongeza ya asilimia sita Yanga itachukua jumla ya billion 4.716 kwa miaka yote Mitano .

“Wawakilishi wa SportPesa watakutana na uongozi wa Yanga ili kumalizana nao juu ya mkataba wanaotaka kuingia na hiyo ni kutokana na kufika makubaliano ya kimkataba,”
alisema mjumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga.

Alipotafutwa Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa, ambaye alisema wapo kwenye hatua za mwisho za kuingia mkataba na SportsPesa.

“Napenda nizungumze kitu kilichokua tayari au kimekamilika hatua ya kuingia mkataba na SportsPesa bado, ila tutakutana nao kwa mazungumzo ya mwisho ambayo yatatoa jibu kama watatudhamini au la.

“Tunazungumza na SportsPesa kwa kuwa hawa wamekuja moja kwa moja kwetu tofauti na kampuni nyingine ambazo zinataka kutudhamini, lakini ipo kampuni tuliyoipa jukumu la kufanya mazungumzo nao nasi kutuletea taarifa ya kila kinachoendelea,” alisema Mkwasa.

Iwapo Yanga watamalizana na kampuni ya SportsPesa ya Kenya itakuwa timu ambayo inalipwa vizuri Africa Mashariki. Kwa Tanzania mikataba ya awali waliyosaini Simba na Yanga na Kilimanjaro walikuwa wanapewa milioni 500 Kwa mwaka hii ni ongezeko la milioni 400 Kwa mkataba huu mpya. Timu za Tanzania ambazo zina udhamini mzuri ni Azam wanaodhaminiwa na benki ya NMB na Azam Cola Pamoja na Mbeya City inayodhaminiwa na RB Betri za magari kutoka Bin Slum pamoja na Coca Cola.
 
View attachment 498873

Kimahesabu hauko sawa, ongezeko ni zaidi ya TZS 54,000,000 kwa mwaka wa pili na kuendelea

Y1 900,000,000.00 0
Y2 954,000,000.00 54,000,000.00
Y3 1,011,240,000.00 111,240,000.00
Y4 1,071,914,400.00 171,914,400.00
Y5 1,136,229,264.00 236,229,264.00
5,073,383,664.00 573,383,664.00
 
Niseme wazi TifuTifu wataweka pingamizi hapo hadi kieleweke komaeni yanga mpira sasa ni biashara
 
Kimahesabu hauko sawa, ongezeko ni zaidi ya TZS 54,000,000 kwa mwaka wa pili na kuendelea

Y1 900,000,000.00 0
Y2 954,000,000.00 54,000,000.00
Y3 1,011,240,000.00 111,240,000.00
Y4 1,071,914,400.00 171,914,400.00
Y5 1,136,229,264.00 236,229,264.00
5,073,383,664.00 573,383,664.00

Umenikumbusha NPV,FV,IRR.
 
Makampuni mengine ingieni mkataba jezi za mazoezi za Yanga..fursa hiyo watu watanunua kama..lembe
 
Back
Top Bottom