Kampuni ya Facebook yaizuia Huawei kutumia applications zake.

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,968
Kampuni ya Huawei inaendelea kupata pigo baada ya pigo. Kampuni ya facebook imeipiga marufuku Huawei kutumia application zake.

Facebook inamiliki application kama facebook, facebook lite, facebook massanger, Instagram, Whatsapp.

Kazi ipo.
 
Sasa na wake wenye hizo simu tangu zamani ina maana hawatapata tena hizo huduma au ni toleo mpya la huwawei litakalotoka mwaka huu
 
Mm nina HUAWEI, situmii fb, whtsap, wala insta za Google play store, kiufupi stumii apps za play store, na Nina apps mbadala wa hizo zote apk, na mitandao yote hio ninayo, tena natia features bora zaidi ya hizo including dark mode ya hizo apps na downloads video na picha za hizo mitandao yote, WANAOFKIRIA KUWA HUAWEI HAWAWEZI KUTUMIA MITANDAO HIO BAADA YA VIKWAZO NAFKIRI WATAFELI SANA
 
Wengi washamba wa mitandao hawajui kitu hichoo
 
Mm nina HUAWEI, situmii fb, whtsap, wala insta za Google play store, kiufupi stumii apps za play store, na Nina apps mbadala wa hizo zote apk, na mitandao yote hio ninayo, tena natia features bora zaidi ya hizo including dark mode ya hizo apps na downloads video na picha za hizo mitandao yote, WANAOFKIRIA KUWA HUAWEI HAWAWEZI KUTUMIA MITANDAO HIO BAADA YA VIKWAZO NAFKIRI WATAFELI SANA
Usijisifu maana bado awaja switch off wametoa tu tangazo. Wenye hizo apps wakiamua zisi function kwenye hiyo simu yako haitofunction kwa lolote labda huawei waje na whatsapp zao ambazo zitakuwa compatible na hii ya kawaida
 
kitu ambacho hujui ni kwamba kila device ina Imei sasa wanapiga block ya imei zote za huawei ku access server zao mdo hapo utajua kuwa wanajua zaidi ya unavyofkiri
 
NA HAPO HUAWEI WAKIJA NA OS YAO MPYA INAMAAANA UTAWEZA KUTUMIA HIZO APPS APK BILA YA MATATIZO YYTE, PIA UNATUMIA NA APPS ZA OS MPYA YA HUAWEI SO UTAKUA UNAPIGA KOTEKOTE, HATA WAITOE GOOGLE PLAY STORE STIL UTAWEZA KUTUMIA FACEBOOK, WHATSAPP, INSTA NK. TENA KWA NJIA BORA NA NZURI NA ZENYE KUDOWNLOAD KILA KITU, NAPENDA SANA HUAWEI, HIZI SIMU NI NYOKO, MAANA MPAKA SASA HUKU NJE NDIO WANAZOZITUMIA KWA WINGI PIA, BEI ZAKE HIZI SIMU KWA HELA YA KIKWETU ZIPO JUU KIDOGO ILA UKITUMIA HIZI SIMU NDIO UNAJUA KUWA NOW NIMEPATA SIMU, CHAJI NDIO UNASAHAU KABISA KAMA KUNA KUCHAJI DAAADEKI
IMG_20190606_133410.jpeg
IMG_20190606_133403.jpeg
IMG_20190606_133406.jpeg
 
Kuna Wechat,Alipay,Meituan nakadhalika hizi pekee zina function kubwa sana zaidi ya apps za kimarekani.
 
kitu ambacho hujui ni kwamba kila device ina Imei sasa wanapiga block ya imei zote za huawei ku access server zao mdo hapo utajua kuwa wanajua zaidi ya unavyofkiri
Najua kuwa kuna Imei ambazo ni number unique kwa kila divice, lakini nakuuliza swali 1 tu kuwa unajua kuwa ukiwa divice ya OS ya Microsoft yaani windows unaweza kutumia android apps?? Huo ni mfano kama nilivyokueleza apo juu, kuwa hata kama wakiblock leo lakini OS ambayo watakuja nayo hao huawei utaweza kuaccess android apps, especially APK apps, na je unajua kuwa sio Google pekeyao wanaotengeneza android apps? Alaf pia labda niseme kitu chengine pia kwa mfano, Kuna nchi apa wameblock baadhi ya mitandao isiaccess kwenye nchi zao but watu wakaja na VPN (VIRTUAL PRIVATE NETWORK) ambayo wanatumia kupata hio mitandao na website walizoziblock bila ya matatizo, so mm naona kuwa US hawatofanikiwa hii ya huawei especially saivi 2019 technology ni kubwa mno
 
Usijisifu maana bado awaja switch off wametoa tu tangazo. Wenye hizo apps wakiamua zisi function kwenye hiyo simu yako haitofunction kwa lolote labda huawei waje na whatsapp zao ambazo zitakuwa compatible na hii ya kawaida
Mkuu nakuambia hawatofanikiwa coz watu WAMESHAJIPANGA kitambo na walijua litatokea hilo, labda waje wazitie kwenye ndoo zamaji[emoji23][emoji23]
 
Haya kwangu nayaita ni mapinduzi ya Technolojia, google na Fb watafeli na watajutia maamuzi yao ya kushinikizwa pale ambapo mchina ataona umuhimu wa kutwngeneza vya kwake ambapo kashaanza kufanya muda mrefu......kwa mchina kutuhamisha kutoka kwenye FB na kutupeleka kwenye weibo itakuwa rahisi tu akiamua....hapo ndo mageuzi ya kweli ya tech ya App tutapoishuhudia
 
SANA MKUU, NA SASAIVI GOOGLE WAMESHAANZA KULALAMIKA HUKO KUWA VIKWAZO DHIDI YA HUAWEI ITAWAADHIRI SANA
Screenshot_20190608-003808.jpeg
 
Kuna Wechat,Alipay,Meituan nakadhalika hizi pekee zina function kubwa sana zaidi ya apps za kimarekani.
Mkuu unajua kuna baadhi ya watu hawafuatilii haya mambo, mm situmii ata YouTube ya Google ni apps zangu nyingi ambazo zaidi ya hio YouTube ya Google na napata kila kitu
 
Najua kuwa kuna Imei ambazo ni number unique kwa kila divice, lakini nakuuliza swali 1 tu kuwa unajua kuwa ukiwa divice ya OS ya Microsoft yaani windows unaweza kutumia android apps?? Huo ni mfano kama nilivyokueleza apo juu, kuwa hata kama wakiblock leo lakini OS ambayo watakuja nayo hao huawei utaweza kuaccess android apps, especially APK apps, na je unajua kuwa sio Google pekeyao wanaotengeneza android apps? Alaf pia labda niseme kitu chengine pia kwa mfano, Kuna nchi apa wameblock baadhi ya mitandao isiaccess kwenye nchi zao but watu wakaja na VPN (VIRTUAL PRIVATE NETWORK) ambayo wanatumia kupata hio mitandao na website walizoziblock bila ya matatizo, so mm naona kuwa US hawatofanikiwa hii ya huawei especially saivi 2019 technology ni kubwa mno

Kuna kitu unashindwa kutambua asilimia kubwa ya watu wanajua apps zinapatikana playstore au appstore na hata developers wa apps mapato mengi wanapata kupitia playstore au appstore...ndio maana unakuta baadhi ya apps zikitolewa playstore zinapoteza mwelekeo hata kama zitakuwa hosted na third party services
 
Back
Top Bottom