Endelea kuota mchana.
its just a concept tu wadau bado haijatoka hiyo saa ndio maana samsung na viherehere vyao wakaidaka hiyo concept haraka na kukimbilia kuitoa mapema pasina kufanya utafiti wa soko kwa kina na sasa hizo SAMSUNG GALAXY GEAR (saa) haziuziki na hazina ubora kama unavyotangazwa.
Ndo yale yale kuwa samsung s4 itakuwa ni bending phone, ilipotoka ikawa sio... Kwa hiyo tuwe makini na source. Pia tufahamu maana ya concepts..
Ni simu ambayo imetengenezwa kimuundo wa saa.
Hiyo ipo,Samsung wana smart watch tayari
Nasubiria wakitoa iCar ndio ntanunua.
ipi ipo?
Me nasubiri smart car
Mkumbuke na kujenga nyumba ,tujadili na mabati badala ya sijui smart nini ,wengine kila simu ikitoka wanayo,huku kumbe ni akina KK hata shuka hawana.