M malackmramba Member Joined Sep 20, 2014 Posts 8 Reaction score 4 Jan 2, 2019 #1 habari za kwenu me nahitaji kupata kujuwa garama za kutengeneza app za mobile.ningependa pia kujuwa garama za app na kampuni nzuri ambazo wanatengeza
habari za kwenu me nahitaji kupata kujuwa garama za kutengeneza app za mobile.ningependa pia kujuwa garama za app na kampuni nzuri ambazo wanatengeza
Gulio Tanzania JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,383 Reaction score 7,978 Jan 2, 2019 #2 Ata mimi pia natafuta kampuni mana hawa wanaofanya kazi binafsi wababaishaji na pia hii sector kuna matapeli wengi tu
Ata mimi pia natafuta kampuni mana hawa wanaofanya kazi binafsi wababaishaji na pia hii sector kuna matapeli wengi tu
M malackmramba Member Joined Sep 20, 2014 Posts 8 Reaction score 4 Jan 5, 2019 Thread starter #3 wewe umetuma no ya simu haipatikan
cc12 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 1,018 Reaction score 397 Apr 5, 2019 #4 0755801248 One of the best i know hutajuta Sent using Jamii Forums mobile app