Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,050
WanaJF,
Hapa Tanzania kumekuwa na maagent wengi sana wa kuagiza magari Japan kama vile BE FORWARD, STB JAPAN, AUTOCOM JAPAN n.k
Ni kampuni gani nzuri unayoijua? Ambayo hawabadilishi badilishi bei, hawaibi vipuli gari ikifika, hawadanganyi muda maana wengine wanakuambia gari itaingia ndani ya siku 30 gari inakaa miezi 3.
Je ni kampuni ipi iliyo njema?