Kampuni nzuri kwa kufanya field za IT

No SQL

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
7,377
Reaction score
13,444
Habari wanajukwaa,
Naombwa kujuzwa kampuni nzuri kwa ajili ya kufanya field za IT ambayo itamfanya anayefunzwa walau kupata ujuzi.
Ukiandika jina la kampuni na mahala ilipo nitashukuru.
Asante
 
Unasoma wapi IT mkuu?
 
Unasoma wapi IT mkuu?
Sisomi IT nasoma computer eng. field nmekuwa nikifanya networking site na kampuni za wahind..sasa nataka nijaribu pengine kweny programming au hata networking nipate challenge
 
hakuna deparment ya comp eng ipo departmen ya IT
 
Sisomi IT nasoma computer eng. field nmekuwa nikifanya networking site na kampuni za wahind..sasa nataka nijaribu pengine kweny programming au hata networking nipate challenge

Nenda kampuni yoyote ya simu ila TTCL ndio zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…