Kampuni mpya ya simu ofisi ziko wapi?

Kampuni mpya ya simu ofisi ziko wapi?

Mas The Great

Senior Member
Joined
Dec 27, 2011
Posts
150
Reaction score
64
wanajamii nimejulishwa juu ya kampuni moja mpya ya simu iitwayo "BOL". sasa mimi naomba kujua ofisi zao ziko wapi hapa DAR na hata ubora wa huduma zao. ni vema kujaribu kila ladha ili kuamua ladha inayofaa.
 
hyo kampuni ya miaka nyng sana wala sio kampuni mpya ya simu. benson iformatics ndio wamilik wa hyo kampun, ofis zao zpo brbr ya ali hassan ila nimesahau ni kbl au baada ya kituo gani.
 
mimi nimekutana na vijana wameniuzia laini zao lakini vocha sijui pa kuzipata ni week sasa.
 
Ppf tower poster...au pale ubalozi wa ufaransa kote wanaofisi
 
hyo kampuni ya miaka nyng sana wala sio kampuni mpya ya simu. benson iformatics ndio wamilik wa hyo kampun, ofis zao zpo brbr ya ali hassan ila nimesahau ni kbl au baada ya kituo gani.

Ofisi zipo ulipokuwa ubalozi wa Marekani zamani, sio mbali kutoka Stanbic ya pale Ubalozi wa Ufaransa.
 
Hawa BOL according to their website wapo mikocheni ila pia ndio wanaitwa SMART; nadhani mpaka sasa line zao zipo kwa ajili ya smartphones, ingawa pia inachagua smartphones kuna mdau alikuwa na Tecno haikufanya kazi..., nimeijaribu kwenye modem / universal modem sikuwa na mafanikio mazuri..

Ila investment ya 2000/= sio mbaya wewe jaribu huenda kwa kazi unazofanya / sehemu ambayo upo itakufaa.., hata kama ofisi zipo mbali wapigie kwenye hii namba ya kwenye site yao watakupa namba ya wakala wa karibu 0798 798798
 
Back
Top Bottom