Kampuni la Pepsi

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,431
Hello JF

Leo ningependa Kuzingumzia Hii kero niliyonayo katika Soda za Kampuno hii ya Pepsi..

Kila Mara Ninunuapo Soda Za Pespi Vizibo vyao vinakuwa na KUTU unafungua Soda Inabidi mpk utumie tena Tissue kuanza Kufuta Kutu ya Chupa......

Sasa Sijui hii Kampuni inalichukuliaje hili ukizingatia no Soda Zao tu ndo Napatwa na Tatizo hili..
 
Naungana na mleta mada, mi mwenyewe nishakutana na hiyo kitu ni wakati wa kuyafanyia kazi makosa haya, kama wanapitaga huku!
 
ENDELEA KUIJALI AFYA YAKO...hakuna yeyote atakayeijali afya ya MIMI zaidi ya jitihada zangu zikitanguliwa na SALA KWA MUNGU....eti leo unawaza pepsi au COCA COLA waijali afya ya mteja-...?? kama hilo linawezekana BASI WANGEANZA KUJALI WATENGENEZA CHUMVI, maana tunatumia kila cku
 
Labda soda zao zinakuwa zimekaa sana kwa mda mrefu kwenye 'magodauni' yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom