- Thread starter
- #21
Ana degree ya uhasibu,ni miongoni mwa watanzania wa mwanzo kabisa kua na CPA.
acha uongo.. leta evidence. narudia tena mengi hana degree.. kama anayo weka evidence alichukulia chuo gani.. yaelekea unachanganya acca au cpa na degree za university
acca au cpa unaipata kwa kufanya mitihani ya bodi... huitaji kwenda university yeyote... unachpata hicho ndicho kinaitwa skills nasema watu wakomae nazo