Mkuu hawa mobisol wana hitaji kila mwez kwa muda wa miaka 3 ndo wakuachie vifaamobisol wanazo sifa zote za kugharamia mahitaji ya watanzania wasio kuwa na umeme kwani kampuni hii haihitaji ushuru wa kila mwezi ukilinganisha na kampuni kama m-power ambazo zenyewe zinatoza fedha kila mwezi mtu analipia kodi kama Tanesco
hapa ni kama utakopa tu lakini ukichukua bila kukopa hauna haja ya kulipia kwa mweziMkuu hawa mobisol wana hitaji kila mwez kwa muda wa miaka 3 ndo wakuachie vifaa
Mkuu hicho kipo hivyo.... Hapa nina solar w300 na betri n 100 zipo 2 lkn ufanisi wake wa kaz ni mdogo.. Hawa jamaa wanasema product zao ni quality kwa panel ya w200 na betri ya n180 inatosha mahitaj kwa kaz yangu kutokana na ubora wa vifaa vyao....acheni kuibiwa nunueni cash ata 1m haifiki lakini mobisol ni wezi mpka 2.8m,,. b4 anything try to do window shopping utagundua nasema nn!