Kampuni ipi ya ulinzi inalipa vizuri?

Kampuni ipi ya ulinzi inalipa vizuri?

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,616
Reaction score
1,735
Wakuu habari,

Kampun gani nzuri ya ulinzi inayolipa atleast vizur kwa wafanyakazi wake.

Hali ya kimaisha imekuwa ngumu sana, Nataka nijitose huko kwenye ulinzi tukusanye mitaji.

Level yangu ya Elimu ni "Bachelor of insurance and risk management"

Cheti cha jkt ninacho.

Asante
 
Ni afadhali ungeendelea kujitolea na Suma Jkt kule ungekuja kuajiliwa hawa wengine ni wezi
 
Back
Top Bottom