Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Hili ni shamba la bibi kila.mtu anajichumia kwa style ya kula na kipofu ....nje ufisadi ni kansa tuipige vita ma bovu then ndani .......wanajikombea kwa uroho
 
Malaika wanakulaga RUSHWA?Tumeambiwa kazi yetu ni KUSIFU,KUABUDU na KUPIGA MAKOFI,hayo ya kuhoji peleka Kenya.

Halafu kuwa MZALENDO
 
Inaonekana kuwa na mkanganyiko (frustrations) kwenye mawazo yako kiasi kwamba unachanganya masomo. Na huyo Mayanga ndiye Nani, na ana kashfa gani? Ukitaka kusikika, ongea kwa takwimu na thibitisha ukisemacho. Acha kuwasilisha hisia zako badala ya core evidence.
 
Inabidi ninyi wananchi ambao inasemekana ndio wenye nchi mseme nao (watawala) kwa lugha watakayoielewa.
 
....Hivi juzi Sugu kule mjengoni kasema wakitoa hoja badala ya kujibiwa wanasubiriwa wakati wanaingia majumbani mwao halafu wanafanywa nini vile??
 
....Hivi juzi Sugu kule mjengoni kasema wakitoa hoja badala ya kujibiwa wanasubiriwa wakati wanaingia majumbani mwao halafu wanafanywa nini vile??
Hao Ni Disco jocker, wape nafasi, Bungeni siko pahala Pao.
 
Ni sawa na nyani aibae mahindi shambani kuwafukuza nyani wengine awakutao shambani, tumeibiwa kweli kweli yaani mafisadi haya tayakomesha,panya uzaa panya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…