Mbassa jr
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,234
- 3,209
Wadau nahitaji kuezeka kibanda changu lakini mpka sasa nimeshindwa kujua ni kampuni zipi ninunue mabati,maana nikipita nyumba nyingi naona mabati yamepauka sana na yamewekwa juzi juzi tu hapa,naomba mnisaidie jaman nahitaji hasa hasa haya mabati ya migongo mipana gauge 28-30 au versatile na hata pia corrogate
NAWASILISHA
NAWASILISHA