layers

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji wa kuku wa mayai wenye umri wa miezi 4

    Habarini wakuu Nina uhitaji wa kuku wa mayai wenye umri wa miezi 4. Kwa anayeyejua mahali wanapouzwa naomba anisaidie pia kujua bei ikoje. Ninatanguliza shukrani za dhati Asanteni
  2. Gavinci

    JamiiForums Tanzania Je mtaji wa ml.8 unatosha kufuga layers 600 mpaka waanze kutaga?

    Habari wakuu, naombeni uzoefu wenu hasa kwenye sekta hii ya kuku wa mayai. Binafsi nimewahi kufuga kuku wa kienyeji, chotara, na broilers kwa uchache, ila kwa sasa nahitaji kufuga kuku wa mayai 600 hivyo ningependa kujua gharama zao hasa kwenye upande wa chakula, vifaranga na madawa tuu ukiacha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuku waliomaliza kutaga 1000+(ex layers)

    Nataka kuku layers waliomaliza kutaga bei ya jumla 11,000 nipo dar es salaam, mawasiliano 0621 863 980,nataka kuanzia 1000+ na zaidi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku Ruvuma

    Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
  5. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga vya kuku wa Mayai (Layers)

    Habari wana jamvi, natumai mko salama kabisa. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Vifaranga wanahitaji uangalizi mkubwa sana hasa katika hatua za mwanzo za ukuaji wao, na moja ya njia zinazoweza kuhakikisha usalama wa maisha yao kwanza wao kwa wao (yaani vifaranga) na usalama wa mayai hapo...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers

    Habari wakuu, Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers (waliomaliza kutaga au waliokomaa vizuri). Hivyo naomba mwenye nao tuwasiliane au yoyote anaejua wapi wanapatikana pia tuwasiliane. Niko Dodoma mjini. Tuwasiliane 0759724391.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni Bora ya kuku,Kati ya silverland,interchick na tanchick

    Habari? Je Kati ya kampuni hizo naomba msaada ipi ni kampuni yenye vifaranga Bora vya kuku wanyama na mayai. Nataraji kuingia kwenye iyo biashara hivi karibuni. Asante
Back
Top Bottom