Kampuni binafsi inapomudharirisha mfanyakazi wake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni binafsi inapomudharirisha mfanyakazi wake!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Visionmark, Jan 6, 2012.

 1. V

  Visionmark Senior Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello wanaJF, habari! Samahanini nina swali na swali lenyewe ni kama ifuatavyo; Inapotokea kwamba kampuni inamudharirisha mfanyakazi wake mbele za watu na mbele ya wafanyakazi wenzake kwa madai ambayo baadaye yanakuja kuonekana kwamba hayakuwa madai yakweli, je mfanyakazi huyo anaweza chukua hatua zipi za kisheria dhidi ya kampuni hiyo???
   
 2. k

  kakolo Senior Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Inabidi waongee na mfanyakazi ili wamlipe fidia ya usumbufu alioupata, la mfanyakazi akiamua kuacha kazi kwa sababu hiyo anaweza ishitaki kampuni kwa ile sheria ya constractive dismisal. Maana mfanyakazi akidhalilishwa ina maana ina mfanya asiweze kuendelea na kazi.
  Wataalam wa sheria za ajira wataongezea.
   
Loading...