kampeni zaanza chalinze

kampeni zaanza chalinze

RedArmy

Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
44
Reaction score
9
Bwana aitwae ridhwan j kikwete ambaye pia ni mjumbe wa UVCCM ameshaanza kampeni za chini kwa chini jimbo la chalinze.je kamati ya maadili itakuwa na ubavu wa kumfungia?
 
Ngoja aje mwenyewe na ile ID yake ya kifupi atatusaidia kutoa mtazamo wake
 
Bwana aitwae ridhwan j kikwete ambaye pia ni mjumbe wa UVCCM ameshaanza kampeni za chini kwa chini jimbo la chalinze.je kamati ya maadili itakuwa na ubavu wa kumfungia?

Anampigia mtu mwingine au anajipigia yeye?naomba ufafanuzi mkuu
 
Of course mwenyewe.anapita kila kona hapa chalinze.tunaogopa kusema mengi maana nchi yetu ina wenyewe.
 
ccm ni jambo la kawaida kutaka watoto wao nao wawe viongozi
 
Na vile vile hakuna dhambi mtu akiomba uongozi na akachaguliwa hata awe mtoto wa Rais. Ndesamburo mwanawe viti maalum,Tundu Lisu dadake viti maalum,Mke wa pili wa Slaa viti maalum Chadema,Mbowe mkewe mdogo Mukya naye viti maalum kwa nini iwe tatizo kwa CCM tena wanagombea na hatima yake watachaguliwa na wapiga kura mnatishwa na nini haswa au mnawashwa na nini na nyie kwa kimbelembele hamjambo!
 
Back
Top Bottom