Kampeni za UKAWA/LOWASSA zimekwamia wapi??

Liverpool2005

Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
43
Reaction score
39
No siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.
 
wanasubir mitihani ya darasa la 7 ipite.
 
No siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.
una sura ya kinafiki
 
Magufuli kakimbizwa hadi hana hamu ya siasa.
 
No siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.

Jamaa yenu ni mgonjwa
 
pesa inasumbua kidogo,mauzo ya ng'ombe huko kenya bado hayajafanyika
 
kampeni si lazima afanye lowasa,ukombozi wa nchi nikujitoa kina anaehuzunishwa na tulipofikshwa anawajibu wa kupiga kampeni,tuchukue nafasi zetu,mzee lowasa anasema kila mwenye mapenzi mema kwa nchi yake kokote alipo amuombee kura na awaombee kura wabunge na madiwani wa ukawa
 
No siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.

hela zimeisha subiri kwanza
 
Back
Top Bottom