Amani ni tunu yetu Watanzania kuipoteza ikatuponyoka tutalia kilio kikuu cha kusaga meno tangu mimba hadi wazee.
Kila mmoja aiombee Tanzania ipite salama kwenye kikaango uchaguzi mkuu. Amani itamalaki.
Haki idumishwe bila kumpokonya mwenye nayo.
Vyeo ni dhamana za mda tu .
Heshima hutoka kwa Mungu .
Wagombea Udiwani,Ubunge,Uraisi na NEC ,Polisi nk Amani na ustawi wa Tanzania viko mkononi mwenu katika kipindi chote cha matukio yote husika kuelekea siku ya upigaji kura.
Hila na mbinu chafu zizotambuliwa na Katiba na Sheria mama Tanzania ebu kubalini kuziweka kando ili tubaki salama