P Precious Diamond JF-Expert Member Joined Jun 9, 2023 Posts 750 Reaction score 1,691 Jan 23, 2024 #1 Wakuu, Msikilize kiongozi huyu aliye ambiwa amkaribishe Makonda, yaani ni kampeni kabisa zimeanza. Your browser is not able to display this video. "Wilaya ya Hai sasa imepata maendeleo makubwa, ninachotaka kuwaomba msifanye makosa, kina mama na akina baba twendeni na Dr. Samia Suluhu Hassan. "Tunakwenda kwenye uchaguzi mwaka kesho, mwaka huu uchaguzi wa vitongoji na vijiji, huko ndiko tutaweka mizizi ya kuanzia. "Mwaka kesho nipeni kura za mama Samia, masunduku yale yajae mpaka walete masunduku mengine, nipeni Mbunge kijana mahiri, tupeni waheshimiwa Madiwani." Pia soma : Nape Nnaye: Rais Samia amefuta ada kuanzia awali mpaka kidato cha 6. Mlioguswa nendeni mtandaoni mkaseme 'Tunasimama na Samia'
Wakuu, Msikilize kiongozi huyu aliye ambiwa amkaribishe Makonda, yaani ni kampeni kabisa zimeanza. Your browser is not able to display this video. "Wilaya ya Hai sasa imepata maendeleo makubwa, ninachotaka kuwaomba msifanye makosa, kina mama na akina baba twendeni na Dr. Samia Suluhu Hassan. "Tunakwenda kwenye uchaguzi mwaka kesho, mwaka huu uchaguzi wa vitongoji na vijiji, huko ndiko tutaweka mizizi ya kuanzia. "Mwaka kesho nipeni kura za mama Samia, masunduku yale yajae mpaka walete masunduku mengine, nipeni Mbunge kijana mahiri, tupeni waheshimiwa Madiwani." Pia soma : Nape Nnaye: Rais Samia amefuta ada kuanzia awali mpaka kidato cha 6. Mlioguswa nendeni mtandaoni mkaseme 'Tunasimama na Samia'
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,616 Jan 23, 2024 #2 Kampeni zilishaanza kitambo na alianzisha Tundu Lisu kwenye ile 255 Operesheni Katiba Mpya
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,900 Jan 23, 2024 #3 Umechelewa kujua. KAMPENI ZIMEANZA KABLA YA MAKONDA KUWA MWENEZI WA CHAMA. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Umechelewa kujua. KAMPENI ZIMEANZA KABLA YA MAKONDA KUWA MWENEZI WA CHAMA. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Jogoo mbegu JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 824 Reaction score 3,458 Jan 23, 2024 #4 πππ
RoDrick RaY JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,733 Reaction score 2,618 Jan 23, 2024 #5 Kwan lin kampeni za ccm zilisimama ebu wacha lawama