Kampeni za (NASA) Mafuriko ya watu kuelekea Uchanguzi mkuu wa Kenya...

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,707
18581992_1280009302120097_8351714131286091278_n.jpg
 
Mambo ya siasa achana nayo! Waweza kuta kwenye umati huo ni robo tu ndo waliojiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.Wengine wapo tu kusikiliza moto unaowashwa waburudike na kwenda kusimulia.
Pamoja na hayo, ukumbuke jubilee wamejiandaa sana kisayansi!
 
demokrasia Kenya ni bora kuliko nchi zingine zote ukanda huu...ukienda Uganda utapata mjinga ameshikilia ulinzi karibia miaka thelathini sasa...rudi Tz, chama cha CCM yalindwa na madikteta...nenda kule Rwanda umpate Kagame naye anataka kufia mamlakani...sijamtaja hata Mugabe kule Zimbabwe...Ila ukija Kenya, utapata Uhuru Kenyatta kwa sasa anatetemeka na kugwaya sana sababu NASA pia wana kura nyingi...uchaguzi huu ni 50/50...Uhuru inawezekana akaenda nyumbani na pia inawezekana akashinda..Ethiopia naskia wanahabari hawana Uhuru wowote...huwezi ukamtusi rais ama prime minister pengine kama unataka kuuwawa..ukienda Somalia, rais anateuliwa na wanasiasa na sio kuchaguliwa na raia....
 
my frend Ukawa ndio mnyama mgani? NASA means National Super Alliance...huwa wakenya hatufuatilii mambo ya Tz kwa hiyo unashangaza ukimtaja mnyama sijui wa aina gani huyo na kumfananisha na the mighty NASA...:D:D
Ndugu yangu jaribu kupunguza dharau,jamaa alie uliza hakua nania mbaya bali kwa uelewa tu.Kwahiyo haijawa fair kumjibu MTU kwa dhihaka.Samahan kama nimekukwaza.
 
demokrasia Kenya ni bora kuliko nchi zingine zote ukanda huu...ukienda Uganda utapata mjinga ameshikilia ulinzi karibia miaka thelathini sasa...rudi Tz, chama cha CCM yalindwa na madikteta...nenda kule Rwanda umpate Kagame naye anataka kufia mamlakani...sijamtaja hata Mugabe kule Zimbabwe...Ila ukija Kenya, utapata Uhuru Kenyatta kwa sasa anatetemeka na kugwaya sana sababu NASA pia wana kura nyingi...uchaguzi huu ni 50/50...Uhuru inawezekana akaenda nyumbani na pia inawezekana akashinda..Ethiopia naskia wanahabari hawana Uhuru wowote...huwezi ukamtusi rais ama prime minister pengine kama unataka kuuwawa..ukienda Somalia, rais anateuliwa na wanasiasa na sio kuchaguliwa na raia....
We una upungufu wa akili kuilinganisha Tanzania na Kenya kwa Demokrasia, ona walivyochinja watoto 3 wa Mgombea wa ubunge na mgombea udiwani Leo, halafu we unaleta mafyongo yako hapa! Bure kabisa wewe.
 
my frend Ukawa ndio mnyama mgani? NASA means National Super Alliance...huwa wakenya hatufuatilii mambo ya Tz kwa hiyo unashangaza ukimtaja mnyama sijui wa aina gani huyo na kumfananisha na the mighty NASA...:D:D
The mighty NASA!!!!!!
Basi sawa
 
We una upungufu wa akili kuilinganisha Tanzania na Kenya kwa Demokrasia, ona walivyochinja watoto 3 wa Mgombea wa ubunge na mgombea udiwani Leo, halafu we unaleta mafyongo yako hapa! Bure kabisa wewe.
upungufu wa akili ni wewe na familia yako...makende
 
my frend Ukawa ndio mnyama mgani? NASA means National Super Alliance...huwa wakenya hatufuatilii mambo ya Tz kwa hiyo unashangaza ukimtaja mnyama sijui wa aina gani huyo na kumfananisha na the mighty NASA...:D:D
Dharau za namna hii hutoka kwa watu wasiovaa chupi,,,, pwindi sana wewe na ni lofa kwelikweli,,,,,,, nchi hizi zote ni watu weusi masikini tofauti zetu ni GDP za nchi zetu tu hafu unamletea dharau nani mbwiga wewe? Nyoooo....... Pengine wanakusodoma wewe hizo si dharau za mtu aliekamilika.......
 
demokrasia Kenya ni bora kuliko nchi zingine zote ukanda huu...ukienda Uganda utapata mjinga ameshikilia ulinzi karibia miaka thelathini sasa...rudi Tz, chama cha CCM yalindwa na madikteta...nenda kule Rwanda umpate Kagame naye anataka kufia mamlakani...sijamtaja hata Mugabe kule Zimbabwe...Ila ukija Kenya, utapata Uhuru Kenyatta kwa sasa anatetemeka na kugwaya sana sababu NASA pia wana kura nyingi...uchaguzi huu ni 50/50...Uhuru inawezekana akaenda nyumbani na pia inawezekana akashinda..Ethiopia naskia wanahabari hawana Uhuru wowote...huwezi ukamtusi rais ama prime minister pengine kama unataka kuuwawa..ukienda Somalia, rais anateuliwa na wanasiasa na sio kuchaguliwa na raia....
Maneno kama haya ndio yanakupa usingizi eh? Kenyatta anatetemeka kwa maovu yake aliyoyafanya na mwezake Ruto, kuazia kweye ushiriki wao wa fujo za 2008, mpaka eurobond, mpaka sgr inyokwemda shambani kwa Kenyatta. Wewe waseme hizo nchi nyingine, Demokrasia ya Kenya haiicheki demokrasia ya Tanzania. Kama CCM kuwa madarakani kwa muda mrefu ndio kipimo cha demokrasia, Japan walikuwa na chama kilicho shinda chakuzi zote tokea vita kuu ya pili ya dunia (zaidi miaka 50). Afrika ya kusini ina miaka 20 ikiongozwa na chama hicho kimoja ili hali nchi zote hizo ni za kidemokrasia.
 
We una upungufu wa akili kuilinganisha Tanzania na Kenya kwa Demokrasia, ona walivyochinja watoto 3 wa Mgombea wa ubunge na mgombea udiwani Leo, halafu we unaleta mafyongo yako hapa! Bure kabisa wewe.

Hayo ni matukio ya jinai ambayo hata kama yanahusiana na siasa fahamu kwamba sio sera ya nchi. Kwenu hapo hata mwanamziki hawezi akaimba kwa uhuru, Nay wa Mitego alikipata baada ya kuimba imba, kuna yule Roma Mkatoliki hata huwa hataki kutaja yaliyomkuta baada ya kuimba dhidi ya uongozi. Usisahau na wale vijana wa SHILAWADU walivyokutwa kituoni na kubabaishwa balaa. Hivi yale ya Ben Saanane yaliishia wapi.

Matukio ya kwenu, niliona hata waziri nape Nauye anatupiwa nje kwa bastola, nakumbuka alivyozunguka nchi akitetea hicho chama chenu cha tangu uhuru. Urais kwenu hupatikana pale Dodoma baada ya wazee wa CCM kukutana, ukiteuliwa tu basi, mengine inakua show za push up halafu hatimaye unaishia kuwa rais. Fahamu kwetu ushindani huwa mkali sana, hamna uhakika wa ushindi, leo hii mimi namuunga mkono rais Uhuru lakini hatuna uhakika kwamba atashinda, inabidi aeleze na kujitetea kwa Wakenya.

Ghasia kwenye uchaguzi ni jambo mbovu na hutendeka Kenya, huwa inaniuma sana lakini ni jambo lipo hata kwenu pia.

vuruguccm.jpg
 
Maneno kama haya ndio yanakupa usingizi eh? Kenyatta anatetemeka kwa maovu yake aliyoyafanya na mwezake Ruto, kuazia kweye ushiriki wao wa fujo za 2008, mpaka eurobond, mpaka sgr inyokwemda shambani kwa Kenyatta. Wewe waseme hizo nchi nyingine, Demokrasia ya Kenya haiicheki demokrasia ya Tanzania. Kama CCM kuwa madarakani kwa muda mrefu ndio kipimo cha demokrasia, Japan walikuwa na chama kilicho shinda chakuzi zote tokea vita kuu ya pili ya dunia (zaidi miaka 50). Afrika ya kusini ina miaka 20 ikiongozwa na chama hicho kimoja ili hali nchi zote hizo ni za kidemokrasia.
haya kama itakufurahisha, demokrasia ya Tz ndio namba wani...
 
demokrasia Kenya ni bora kuliko nchi zingine zote ukanda huu...ukienda Uganda utapata mjinga ameshikilia ulinzi karibia miaka thelathini sasa...rudi Tz, chama cha CCM yalindwa na madikteta...nenda kule Rwanda umpate Kagame naye anataka kufia mamlakani...sijamtaja hata Mugabe kule Zimbabwe...Ila ukija Kenya, utapata Uhuru Kenyatta kwa sasa anatetemeka na kugwaya sana sababu NASA pia wana kura nyingi...uchaguzi huu ni 50/50...Uhuru inawezekana akaenda nyumbani na pia inawezekana akashinda..Ethiopia naskia wanahabari hawana Uhuru wowote...huwezi ukamtusi rais ama prime minister pengine kama unataka kuuwawa..ukienda Somalia, rais anateuliwa na wanasiasa na sio kuchaguliwa na raia....

Hamna Rais muuaji EAC kama Uhuru, mfadhili mkuu wa kundi la kigaidi Mungiki.
 
demokrasia Kenya ni bora kuliko nchi zingine zote ukanda huu...ukienda Uganda utapata mjinga ameshikilia ulinzi karibia miaka thelathini sasa...rudi Tz, chama cha CCM yalindwa na madikteta...nenda kule Rwanda umpate Kagame naye anataka kufia mamlakani...sijamtaja hata Mugabe kule Zimbabwe...Ila ukija Kenya, utapata Uhuru Kenyatta kwa sasa anatetemeka na kugwaya sana sababu NASA pia wana kura nyingi...uchaguzi huu ni 50/50...Uhuru inawezekana akaenda nyumbani na pia inawezekana akashinda..Ethiopia naskia wanahabari hawana Uhuru wowote...huwezi ukamtusi rais ama prime minister pengine kama unataka kuuwawa..ukienda Somalia, rais anateuliwa na wanasiasa na sio kuchaguliwa na raia....

Lkn sisi kwetu hatujachinjana na
kama Wakenya, Mtanzania anaweza kuishi na kununua Shamba popote pale nchini kwetu lkn Mkenya Mkikuyu anafukuzwa na Wakakenjini na Mjaluo hawezi kununua Shamba huko Ukikuyuni!
 
Back
Top Bottom