Kampeni za lala salama CHADEMA Nyamagana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni za lala salama CHADEMA Nyamagana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mamboleo, Oct 30, 2010.

 1. M

  Mamboleo Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 69
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 15
  CHADEMA wamemaliza kampeni za ubunge jimbo la Nyamagana leo jioni katika eneo la mkolani.Mabere marando alikuwepo kumsaidia Wenje Dibogo wa CHADEMA!Umati mkubwa umejitokeza siku ya leo kuwasikiliza wana CHADEMA.Kwa umati uliokuwepo leo kwenye mikutano ya awali pale Igoma na Mbugani ni dhahiri CHADEMA wameshachukua jimbo hili.

  CCM nao walikuwepo umbali wa mita kama mita 800 kutoka walipokuwa CHADEMA.Maskini CCM walikuwepo wanachama wao wachaache pamoja na watoto.

  NYAMAGANA CHADEMA wanasubiri tu mbunge wao aapishwe
   
 2. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 670
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
  Shukrani kwa taarifa mzee, tupo pamoja.
   
 3. K

  KICHAPO Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ISEE! Inatia matumaini
   
 4. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na iwe hivyo.
   
 5. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tuombe Mungu
   
 6. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa, tutashinda kwa uweza wake Mungu maana yu upande wetu.
   
 7. M

  Msharika JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Aleluya, Leo ndiyo siku aliyoifanya Bwana na tuishangilie kwa utukufu wa jina lake
   
 8. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  picha hamna; jamani naamini chadema inachukua nchi mwaka huu
   
 9. s

  shade Senior Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  pingamizi la Masha kumbe lilikuwa la kizushi enh! imekula kwake sasa.[​IMG]
   
 10. K

  Kibento Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema en dr.slaa have already taken over the country
   
 11. L

  Lorah JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ngoja nikasaidie wananchi katika kutafuta majina yao, lazima kieleweke!!!!!!
   
Loading...