Kampeni za kufunga udiwani A town

Kampeni za kufunga udiwani A town

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
9,197
Reaction score
14,902
View attachment 97712Wakati tunamsubiria Kamanda wa anga, muda huu Kamanda Lema anawashukuru wana wa Arusha kwa kujitoa na kywadhihirishia Ccm kwamba A town hakuna Ccm
Mita chache kutoka ulipo mkutano huu wapo ccm na mkutano kama kikao cha ukoo.
 
Mda huu lema anamkaribisha mbowe
 
Lema anamuuliza mbowe kama ndesa alisahau nyumba akakesha arusha itakuwaje yeye kesho?
 
Dj kaweka mziki wa chadema wakati mwenyekiti akijiweka sawa
 
Peopleeess ndiyo mbowe kaanza then akamrudishia mwenyezi mungu sifa na utukufu kwa kumlinda
 
Anasema amepita mbeya na lushoto ila hajaona umati kama huu.amewaacha kina sugu na msigwa waendelee mbeya na jana alikuwa lushoto hakuna kata hata moja ni ya chadema ila kesho wagosi wamesema kutakuwa na kata mbili
 
Mbowe anasema amepita monduli amekuta kuna mkutano ila ameshindwa kuelewa ni wa kitchen part au ni wa nini
 
Anawanya ccm kuacha kupitia ccm kuwanyanyasa wananchi. Tunataka uchaguzi wa amani kwa ccm na chadema
 
watu wa Arusha Raluweni hayo magamba mpaka yasitoke nje kwa aibu ya kipigo.
 
Chadema oyee! Kamanda wa anga oyeeee.makamanda wote oyeeee!
 
peoples power,peoples power! Mungu ibariki CHDM,ifanikishe kwa uchaguzi wa kesho J2,
 
Namshukuru Mungu kwa ajili ya watazania wapenda amani ndiyo maana wanaendelea kuonesha mapenzi yao kwa chama cha mapinduzi (CCM). Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM, Viva CCM.
 
Back
Top Bottom