very right, na ungekua unafuatilia sana humu ile thread ya Rev Kishoka ungeona kuwa nilisema the same, wote ni pros.... so tell me something i dont know
Mkutano wa JK hata siku moja hauwezi kuhudhuriwa na watu chini ya 1000. Hata kama hakuna wapenzi wa CCM, bado watu watajaa kwenda kushangaa shangaa tu.