Kampeni za CHADEMA Arumeru - Updates

Huku arumeru mashariki kuna vitu muhimu kama mlima meru,arusha national park,makumira university,arusha,university,CDTI tengeru,but no infractructures wana arumeru msifanye makosa hawa magamba their busy takin our national cake,njia ya kuja arusha national park haina lami kuna kiraka kidogo wanakiweka hapa sehemu moja inaitwa kwa babu nyama kwenye mlima near chuo,me naamin Nassari can do something coz he knowz well east arumeru
 
HAIJALISHI...Tunachoangalia ni nani anakuwa mshindi regardless ametumia tactics gani!
Hapo kwenye RED ni wewe na nani???
Zingatia matumizi ya umoja na wingi especially ukiwa na huu na mtazamo wako hasi.
 
Hapo kwenye RED ni wewe na nani???
Zingatia matumizi ya umoja na wingi especially ukiwa na huu na mtazamo wako hasi.
Hahaha mkuu mwache amechanganyikiwa huko Arumeru hali ni mbaya huwezi kuamini yaani wamebaki na baadhi ya wazee na vibibi....
 
mbona unajichanganya?
BTW, watu kuhudhuria kwa wingi kwenye mikutano siyo kigezo cha kupata ushindi!


Najua mnaamini ushindi wenu unatika kwa UWT, Polisi na JWTZ lakini si pande zile za A-Town.... Mmeshaumia nyiye.
 
Ooh! wazee ndiyo wanaisupport CCM! hao hapo kwenye picha wamejaa kwenye mkutano wa CHADEMA, hapa magamba hawana chao!
 
Ushindi umesha tabiriwa kwenye gazeti la RAI,chadema acheni kuhangaika huko
mnapoteza hela.
 
Ushindi umesha tabiriwa kwenye gazeti la RAI,chadema acheni kuhangaika huko
mnapoteza hela.

Nimeona ITV kina Lusinde wanaendeleza upuuzi wa Nagu, hawana ushawishi kabisa ITV nao wanaendelea kuwachanganyia picha kuziba aibu ya kukosa watu.
 
Acha kutudanganya wewe! unatuwekea picha za uzidunzi!
Kwanza hii inaonyesha watu wengi wamesombwa kutoka Msoga. Arumeru hakuna waislamu pambaf!
HAPO JE ?
 
dah makamanda wanatisha mno, nimeenda kwenye mkutano hapo karibu na home kabisa kwa sioi( mita 100 kutoka kwake) Hali ya ccm meru ni mbaya kuliko kawaida hata wanaoitetea wamebaki tu kusema sioi ni mpole
 
Yapi, ni kazi nzuri ambaye yoyote mpenda mabadiliko anaikubali kazi ya Dr Silaa. Ingawa hakuna njia iliyonyooka, lakini mwisho wa siku tutafika mwisho wa safari. Keep up Dr, Keep up Nassari, ushindi ni wetu......Peoplllllllllllleeeeeezzzzzz!!!
 
Acha kutudanganya wewe! unatuwekea picha za uzidunzi!
Kwanza hii inaonyesha watu wengi wamesombwa kutoka Msoga. Arumeru hakuna waislamu pambaf!



wacha zako wewe , majibu ni tarehe moja nani ni nani tulia.
 
Hakika hii mechi kali, tarehe moja April kuna mtu atalia kweli, Naogopa sana ushabiki kupindukia.
 

Ukitaka utamu wa mechi mwangalie na adui yako..jamaa wana sikitisha sana hahahahahahahahahhhhhhhhh.....wako busy kujipanga kuchakachua safari hii hachakachuliwi mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…