Kampeni ya M4C Delete CCM yatua Tabora Manispaa.

Kampeni ya M4C Delete CCM yatua Tabora Manispaa.

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
1,833
Reaction score
972
Wanajamvi!

Baada ya kuanza kwa kampeni ya M4C-Delete CCM kuanza Mkoani Tabora kwa kunzia kwa wilaya ya Igunga na Jimbo la Bukene kwa siku ya jana Tarehe 6/11/2014. Leo hii tarehe 7/11/2014 wakazi wa Manispaa ya Tabora wameipokea kwa hamasa kampeni hiyo ambapo mkutano wake ulifanyika katika kiwanja cha Town School ndani ya kata ya Gongoni.

kwa kuwa najua team ya MAZUZU ya Lumumba yakiongozwa na MSALANI yatadai ushahidi wa picha, inanibidi niweke picha na ikiwezekana maelezo kidogo ili wanajamvi muone jinsi Tabora walivyoamka na kuikataa CCM.
 

Attachments

  • 2014-11-07 17.01.19.jpg
    2014-11-07 17.01.19.jpg
    446.6 KB · Views: 182
  • 2014-11-07 17.05.07.jpg
    2014-11-07 17.05.07.jpg
    326.1 KB · Views: 125
  • 2014-11-07 17.05.38.jpg
    2014-11-07 17.05.38.jpg
    338.6 KB · Views: 126
  • 2014-11-07 17.06.57.jpg
    2014-11-07 17.06.57.jpg
    269.7 KB · Views: 111
  • 2014-11-07 17.09.37.jpg
    2014-11-07 17.09.37.jpg
    393.9 KB · Views: 100
  • 2014-11-07 17.01.59.jpg
    2014-11-07 17.01.59.jpg
    278.3 KB · Views: 150
  • 2014-11-07 18.22.11.jpg
    2014-11-07 18.22.11.jpg
    366.3 KB · Views: 120
  • 2014-11-07 18.24.30.jpg
    2014-11-07 18.24.30.jpg
    361.5 KB · Views: 89
  • 2014-11-07 17.53.48.jpg
    2014-11-07 17.53.48.jpg
    452.4 KB · Views: 94
  • 2014-11-07 17.34.35.jpg
    2014-11-07 17.34.35.jpg
    345.6 KB · Views: 98
  • 2014-11-07 17.34.06.jpg
    2014-11-07 17.34.06.jpg
    411.1 KB · Views: 102
Jamani iungeni mkono ccm wametuchosha
 
wanajamvi!

Baada ya kuanza kwa kampeni ya m4c-delete ccm kuanza mkoani tabora kwa kunzia kwa wilaya ya igunga na jimbo la bukene kwa siku ya jana tarehe 6/11/2014. Leo hii tarehe 7/11/2014 wakazi wa manispaa ya tabora wameipokea kwa hamasa kampeni hiyo ambapo mkutano wake ulifanyika katika kiwanja cha town school ndani ya kata ya gongoni.

Kwa kuwa najua team ya mazuzu ya lumumba yakiongozwa na msalani yatadai ushahidi wa picha, inanibidi niweke picha na ikiwezekana maelezo kidogo ili wanajamvi muone jinsi tabora walivyoamka na kuikataa ccm.

tupia picha mkuu, picha huongea zaidi...
 
Aisee nimeina mziki wa tabora free ni kamanda soon ataifutilia mbali chichiem
 
Chadema endelea kutesa wewe ndio kimbilio la wengi kamanda mbowe kandamiza mwana wane igweeeeee
 
Huo ni mradi maridhawa Wa viongozi walafi Wa chadema nasikia posho wanazolipana kwa siku hata rais hapati...
 
Huo ni mradi maridhawa Wa viongozi walafi Wa chadema nasikia posho wanazolipana kwa siku hata rais hapati...
Kinana na nape mlikua mnawalipa posho shi ngap walivokua wanakunywa gongo mtaani na kufuga matope vijijin
 
Ni lini mwenyekiti taifa wa Chadema ataendesha mikutano ya M4C kuifuta ccm makao makuu yake mkoa wa Dodoma(90+% ccm) ?
 
M4C delete futa magamba inatisha duuu..magamba yakiona hivi yanaongeza vikao vua siri vya kujadili namna ya uchakachuwaji wa kura 2015...
Magamba hayana silaha zaidi ya uchakachuwaji wa kura
 
inabidi ccm tukazane na propaganda za udini maana bila hivyo chadema watatamba sana maana sasa kila nikipita hata vijiji vya ndani huku chato mpaka wanawake wanaijua chadema dawa ni kukiua hiki chama hata kwa nguvu ya jeshi
 
Dawa ni kujiandikisha kwenye daftari la kupigia kura na kupiga kura.kujaa tu si hoja.
 
Nimeuona mkutano wake itv usiku saa 5,Aisee alitisha mbaya na watu walikuwa wamehamasika kweli! Hakika ukombozi upo mlangoni
 
Back
Top Bottom