Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 164
Watanzania tuwe makini na tutafakari developments zifuatazo:
kwanza ni kesi ya Ditto
1. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Kanda ya DSM aongea na wandishi wa habari na katika taarifa yake anaeleza kuwa Mheshimiwa DITTO alikuwa anagonga dirisha la daladala kumuamuru dereva ashuke mara risasi inafyatuka na kumpiga dereva huyo kichwani na kumuua. Hii inaashiria bahati mbaya na mheshimiwa kama aliuua basi hakukusudia.
2. Mheshimiwa Ditto ANALETWA mahakamani ndani ya baloon. .... Muuaji apewa VIP treatment.
3. Ditto's gun goes missing. Sasa hapa jamaa tayari imewekwa kuwa hakuwa na silha kwenye tukio. Sasa nani alimpiga risasi dereva? Ni mtu mwingine yeyote aliyekuwa na bastola mahali hapo na ni juu ya mupande wa mashitaka kuthibitisha kwamba Ditto ndiye aliyefanya hivyo! Pengine dereva alijigonga kwenye usukani wa gari lake akapasuka kichwa! Ama dereva alijilipua mwenyewe baada ya kugundua kuwa amegonga gari la mheshimiwa R.C.? Proof inatakiwa hapa kumtia hatiani mheshimiwa!!!
4. Mheshimiwa DITTO anajiuzuru na President anakubali OMBI lake. Pamoja na kukubali JK anampongeza kwamba kitendo chake ( KIPI.. kuua ama kujiuzuru? ) ni cha kizalendo na ameifanyia nchi yetu heshima kubwa na inadhihirisha nchi jinsi inavyoheshimu utawala bora wa kisheria!
5.Ditto anapewa Dhamana na huku kesi yake hajulikani itasomwa lini
je namba sita ni nini?naomba kuibua mjadala huu ili haki itenndeke,Mie nadhani kuna haja ya kuadamana ili Kesi hii iibuliwe tena,Na nina wasiwasi mkubwa Rushwa ilitembezwa sana hapa.kumbuka Mtikila Alitaka kuifufua ,Mbona amekaa kimya??