Kampeni ya CCM imebaki kuwa ya BMW | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni ya CCM imebaki kuwa ya BMW

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkaa Mweupe, Oct 21, 2010.

 1. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamani kwa hali ilipofikia sasa baada ya JK kukimbia mdahalo na kumwachia Kinana ambaye amezidi kukidhoofisha chama, mi naona ni heri Kinana na Makamba wakasepa na kumwacha JK akiendeleza kampeni ya Baba Mama na Watoto (BMW)
   
Loading...