Elections 2010 Kampeni: Nukuu ya Leo

ByaseL

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
2,225
247
“ Leo wakati nakuja, nilikuwa napitia kumbukumbu za Bunge lililomalizika, nikaona hiyo ahadi ya Kikwete ya kununua Bajaj, ilikuwa kwenye kumbukumbu za Bunge wakati akihutubia Bunge mjini Dodoma, leo miaka minne baadae anatoa ahadi hiyo hiyo. Sijui kama Rais Kikwete huwa anasoma, hiyo ahadi alishatoa na leo anaitoa tena kwenu!” Alisema Dr. Slaa hook Meatu jana

Source: Tanzania Daima
 
Labda akianguka huwa anasahau pia!!!
 
Back
Top Bottom