ha ha ha imbombo ngafu
WASIRA
huyo jamaa yako alikuwa na ugomvi na mama yake?Kitakachotokea muulize rafiki yangu alimpelekea mamaake kanga iliyoandikwea "Utamaliza mabucha nyama ni ileile"
huyo jamaa yako alikuwa na ugomvi na mama yake?
Nini kisa cha kumtukana mama yake kiasi hicho?
Hivi kupendeza na kuwa mzuri si vitu vinne tofauti? Unaweza kuwa mzuri na usiwe unapendeza. . .
Basi huu ni mwanzo wa ugomvi mpyaWakipendana sana wote wawili lakini kwa kutotambua jamaa alichagua rangi nzuri ya kanga ili ampendeze mzazi wake. Kosa lake hakulisoma jina,yeye alibeba na kupeleka tu.
Basi huu ni mwanzo wa ugomvi mpya
Lakini ana bahati, wa mama wa huku mtaani kwetu wana ongea hadi unaweza kupata kansa kwa maneno yaoLa! Kwa bahati nzuri mama ni mwelewa na mwenye heshima yake kiasi kwamba hakumkabili mwanawe akijuwa kuwa sasa ndio yatakuwa matusi. Alikwenda kwa mke wa mwanawe na kumuonyesha na mkwe alipomkabili mumewe ndipo ilipobainika tatizo. Ilibidi itafutwe kanga nyengine na kuanzia hapo jamaa alikuwa makini na majina ya kanga.