Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,597
- 61,084
Waje tunawasubiri, wao ndio maua katika hii duniaSubiri wanakuja
Nipo hapa ila tupitie kanisani kwanza...
Hulipiii chochote, ni wewe tu na mwili wako; uko wapi nije nikuchukue?Sema kuwa mwanamke raha
Hebu ona ๐
mnapambana na mitungi ya jiko au? ๐๐
Unlikebable uzi sijapenda kwnini awe mdada mrembo tu na wengine vp hapo umebaguaLeo nimechoka choka tu, sijui kwa sababu tunaianza wkend? Nashawishika niende maeneo ya muziki muziki huku moja baridi moja moto, angalau siku ipite.
Natafuta kampani ya mrembo mkali kuliko wote humu, anaye zurura zurura humu angalau tukasikilize makelele ya walevi pamoja na kuosha osha macho.
Kama una hizo sifa na unajikubali, nyoosha mkono juu.
Hizo sanaa zilishatushinda, ngoja nisubiri mlevi mwenzangu atokee tukapige vyomboGas imeisha
Inabidi nikaweke kanisani inisogeze hata week mbili ๐คฃ
Mrembo anaongeza kujiaminiUnlikebable uzi sijapenda kwnini awe mdada mrembo tu na wengine vp hapo umebagua