Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,419
Tupo alone babalao. Na tunaingia kesho kesho kutwa tunatokaNyie mpo na wadada
Hahahahahahhaha! Mkuu wewe ni miongoni wa wadau humu nawaheshimu sana. wewe pumzika mkuu hizi ya kesho itakuwa ndefu mnoAisee, chakula kitakuwepo?? usalama wa raia na mali zake je??
Wewe si upo chuo wewe? hebu soma kwanza mkuu waachie wenzio hiiKwa nn hadi wadada wawepo? Arafu faida yake nn?? Unatokea WAP??
Tafadhari,,,,nijibu naweza kuwiwa nikaja mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aje mwenyewe PM kwa nini umuandae?Ngoja nimuandae Dada Chausiku aje kukupa kampani.Usiogope huyu Dada ni MTU mzuri tu,mkalimu sana isitoshe kajaariwa chura.Yeye ni muhudumu pale corner bar
Haya mkuu, nikutakie chilling njema!Wewe si upo chuo wewe? hebu soma kwanza mkuu waachie wenzio hii
poaHahahahahahhaha! Mkuu wewe ni miongoni wa wadau humu nawaheshimu sana. wewe pumzika mkuu hizi ya kesho itakuwa ndefu mno
usiwaze lakini m-baba
Haina noma kiongoziusiwaze lakini m-baba
Usijali lakini mwanangu