Kampala,Uganda kama hauogi unaogeshwa kwa nguvu na wananchi

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
bano-4.jpg
Ssonko ng’akebera Bogere mu nkwawa

bano-3.jpg
Ssonko ne munne nga banaaza Matia (ku kkono) ne Kaweesi (ku ddyo)
Haya matukio ya watu kuogeshwa yapo mengi Uganda na uwa wanaoneshwa kwenye TV ,wakiogeshwa,wanaoongezwa kwa kuogeshwa kwa nguvu ni bodaboda wakifuatiwa na vijana wa mtaani vijiweni.

na umu Jf tutaanza kuogeshana kwa nguvu

<ins data-adsbygoogle-status="done" class="adsbygoogle" style="display:inline-block;width:680px;height:160px" data-ad-client="ca-pub-9128472770397497" data-ad-slot="3752994534"><ins id="aswift_2_expand" style="display:inline-table;border:none;height:160px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:680px;background-color:transparent"><ins id="aswift_2_anchor" style="display:block;border:none;height:160px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:680px;background-color:transparent"></ins></ins></ins>​
 
Hii tabia ilikuwepo mbeya miaka ya nyuma ambapo makondakta na wapiga debe walikuwa wakiwaogesha wenzao kwa nguvu! Ilitoweka baada ya polisi kulivalia njuga suala hilo
 
Kula ndiyo lazima lakini kuoga ni hiari, siyo vizuri kulazimishana kwenye vitu vya hiari.
 
Back
Top Bottom