Mbona GPPL wa Shigongo wanafichua maovu uswahili tu,kwa washua hakuna uovu?

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
SHAMBAA.png

<center> </center>

<ins id="aswift_0_expand" style="display:inline-table;border:none;height:600px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:160px;background-color:transparent"><ins id="aswift_0_anchor" style="display:block;border:none;height:600px;margin:0;padding:0;position:relative;visibility:visible;width:160px;background-color:transparent">

Wale wazee wa kufichua maovu mbona ni uswahilini tu ndio mafumanizi sana kwa washua vipi hakuna maovu au wanaogopa bastola.
</ins></ins>
 
Sasa maovu ya ushuani ya nafanyika Masaki jirani na kwa Lowasa getini wapo KK Security nyumba kila sehemu CCTV hao OFM wataingi aje?Uswahili sawa mechi zinapigwa wazi wazi Bajaj inapaki sehemu watu wanakunjana lazima wakamatwe,gesti madirisha yanapakana na vichochoro chabo kwa kwenda mbele.
 
Maovu yanafanyika popote. Sema huko ushuani wewe mfichua maovu unaanza kuonekana na kufichuliwa kabla hata hujaona. Ila uswahili mfichuo maovu ndiyo huanza kuwaona kabla nyie hamjamuona.
 
Wapuuzi tu hawa. Bahati mbaya waingie 18 zangu lazima niwawahishe wakanunue mashamba Ahera. Right to Privacy ukiingilia mami naingilia one of ur fundamental right!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom