Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,493
- 124,216
Bc tuseme mganga wa utumishi hajaniona 😎Aah wapi wenye broken kibao tu wamepita wewe holaa😅
Bc tuseme mganga wa utumishi hajaniona 😎Aah wapi wenye broken kibao tu wamepita wewe holaa😅
Utamaliza makanisa mchawi ni we mwenyewe🤣Bc tuseme mganga wa utumishi hajaniona 😎
Me mefanyaje sasa jamani 😭Utamaliza makanisa mchawi ni we mwenyewe🤣
Walie target tuMe mefanyaje sasa jamani 😭
Ipo siku yao tuu hawa, wana bahati ajira zangu n za taasisi moja tuu kudadekiWalie target tu
Komaa na private co. Sio mwisho wa maishaIpo siku yao tuu hawa, wana bahati ajira zangu n za taasisi moja tuu kudadeki
Private jau sana kudadeki 😭Komaa na private co. Sio mwisho wa maisha
Zipo zinazojali utu na kikomaa unazipata vzr tuPrivate jau sana kudadeki 😭
Ngoja niendelee kupambana, kuna moja hiyo niliipata wako vzr ila tulishindwana kwenye majukumu, wananipa majukumu ambayo hatujakubaliana nao afu wanasema hawaoni maendeleo yangu, ikabidi nikimbie nirudi kwenye kibarua cha mwanzo kabla hakijaota vumbi.Zipo zinazojali utu na kikomaa unazipata vzr tu
Kheee🤣🤣🤣Ngoja niendelee kupambana, kuna moja hiyo niliipata wako vzr ila tulishindwana kwenye majukumu, wananipa majukumu ambayo hatujakubaliana nao afu wanasema hawaoni maendeleo yangu, ikabidi nikimbie nirudi kwenye kibarua cha mwanzo kabla hakijaota vumbi.
Dah ntalia sana 😭Kheee🤣🤣🤣
Harakati za mtu mweusi! Sema ukizeeka uko palepale usishangae sana.. inatokea tu😎
Jikaze, haijaisha mpaka iishe!Dah ntalia sana 😭
Anyway, ungekuta sasa hv niko private yenye kujitambua, ila ndo hvy watu na roho zao mbaya, wakanichoma 😭
Imeisha 🤝Jikaze, haijaisha mpaka iishe!