Liward
New Member
- Sep 9, 2016
- 2
- 0
Imeanza kusajili wanafunzi wa kidato cha 1 na wanaohamia kidato cha 2 na 3 kwa mwaka 2017. Pia inatoa mafunzo ya PRE-FORM ONE,itaanza tarehe 12/09/2016,na usaili wa kidato cha 1 utafanyika tarehe 20/09/2016.Shule in ya bweni na kutwa, pia ni ya mchanganyiko.
Shule ipo mkoa wa RUVUMA,wilaya ya MBINGA kata ya KIGONSERA kijiji cha KIAMILI pembezoni mwa barabara ya SONGEA -MBINGA. Fomu za kujiunga na shule zinapatikana shuleni KAMPALA na sehemu zifuatazo:-
(1)SONGEA,stendi kuu ya mabasi ILYANA BOOKING OFISI. (2)MBINGA,stendi kuu ya mabasi SOLA INTERNET CAFE & PRINTING. (3)NJOMBE,stendi kuu ya mabasi J.S.DUKA LA DAWA. (4)NEWALA,MTIKULA SECURITY GUARD UJENZI. (5)TUNDURU,TRADING STATIONERY & GENERAL SUPPLY. (6)NYASA,SHULE YA MSINGI MBAMBA-BAY.
Kwa mawasiliano zaidi piga:- 0752 740 331,0719 714 436,0715 378 069