Kampala international university


kweli mimi mwenyewe nasoma KIU. HII POST NI YA 201012 Karibuni mjionee KIU leo wameboresha.. Maktaba yao ina kompyuta kama mia moja... Lab yao ina kompyuta kama 500: Maabara yao ni ya kisasa zaidi. Jengo lao la health science sidhani kama UDSM wanayo. Nina mkopo na iko nje ya mji... Ni pana miti mizuri na sasa chuo kina Maprofessor wanne, wawili wakitolewa udsm. Maombi ya kujiunga ni kupitia TCU, NACTE. HESLB nao wanatoa mkopo. Kwa sasa kipo vizuri kwa kweli na hakitoi Phd ila Mastrs tu. Mmojawapo wa waliopata masters hapa mwaka huu ni RIDHIWANI KIKWETE. Mkuu wa chuo ni Rais Ally Hassan Mwinyi.
Nilipo mimi najiamini na competent base niliyopata chuo...
Waleteni wanaotoka udsm kwenye field tuone nani ana broad capacity of doing tasks.
Nani yuko more international, more perfect, self-confident kwenye kureason, msikariri, tena bora KIU Wako perfect kwenye language use.
Leo hii ukimpeleka mwanafunzi aliyemaliza vyuo vya kitanzania kwenye interview wanafeli....
Wahadhiri wa hapa ni mixed mostly Ugandans, Tanzanias, Nigerians, Kenyans and two Whites, One Chinese, One Indian.
 
Cha mhimu ufahamu kiingereza tu basi hayo mengine akili kumtwe.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…